Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'


Status
Not open for further replies.
M

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
378
Likes
3
Points
0
Age
44
M

matasha

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
378 3 0
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5

Ombi: Baada ya Malecela Le Mutuz kuleta malumbano na kujinasibu kuwa yeye ana uwezo mkubwa na kumwita Esther Wasira Kilaza, naomba kuwaalika wote wawili katika debate hapa JF. Esther amethibitisha, e Mutuz upo tayari ili tukubaliane muda?


Majibu ya Esther Wasira kwa hoja za W.J. Malecela a.k.a Le Mutuz haya hapa:

W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya "Ujenzi wa Taifa"..
Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo binafsi ya watu na huwa sijibu watu hovyo au bila ya kufikiria kwanza; kwahiyo chukua jibu langu/maoni yangu haya, very seriously,maana hii ni "Calculated Response". Katika vitu vingi nilivyoona kutoka kwenye changizo zako, ni wazi kuwa Mimi na Wewe hatujengi "Ufalme" mmoja. Mimi ninahubiri Neema na Maisha bora kwa watu, uwajibishaji, Uzalendo na kutokomeza Rushwa kwenye nchi yetu, lakini wewe Kazi kubwa unayofanya ni kuangusha matofali ya ujenzi wa Amani, Haki na Usawa, unavuruga watu waliodhamiria kufanya kazi, lakini kiukweli huwezi kufanikiwa; mark my words.
Hili jina la Wasira ni tatizo sana! Should I denounce my Surname? Is that what you want me to do? Will that help me to acquire the "W.J. Malecela Credibility???" Afterall, I do believe in "added advantages"..Kama ni advantage kwa harakati za ukombozi kuwa na jina la ukoo linalotambulika, then so be it. Inaweza ku-sound vibaya kwenye context nyingine lakini katika hili, i dare say, "The end justifies the Means"..Sikuzaliwa a "Wasira" kwa makosa William, and it is the fact that Iam called Wasira that many people are 1. Enlightened 2. Challenged 3. Encouraged. Watu wanapata matumaini na wanajifunza kuwa Kupigania Uhuru na Maslahi ya Watu ni zaidi ya affairs za "Ukoo" na ni zaidi ya Propaganda za siasa.
William, stop for a minute and think, embu futa rangi za kijani na njano kwa muda and just think of ndugu zako..forget propaganda za siasa, tusichezee maisha ya watu kwasababu tuna uwezo wa kuongea lolote na tuna fursa ya kupata madaraka. Hizi ni roho za watu, wenye haki kama wewe na wanastahili kupata fursa kama wewe, wanastahili kuheshimiwa kama wewe. Watu waliunda serikali na kuuza uhuru wao wa kujifanyia baadhi ya maamuzi ambayo by nature walikuwa na haki ya kujiamulia.. Under the Social Contract Theory of Government Formation, people create a sovereign and they curtail part of their liberty, pay taxes to them and in return wanategemea their government to provide Social services, security and protection, good governance among other things.. Kwa kiwango kikubwa watu wamekosa hivi vitu muhimu hapa Tanzania,ni haki yao kuvipata. Kwanini William hiyo tu isikuume ukaona kuwa kuna haja ya kuangalia Maslahi ya watu zaidi, na hilo ndiyo jukumu la sisi tuliokanyaga darasani, sasa kwanini unabishania mambo yasiyo na msingi na kuacha kushughulika na hoja iliyopo mezani..? au hauna uzalendo kabisa? Has the 30 years you "claim to have politically wasted' huko Ughaibuni robbed you off of the sense of love for your country and your people?
Just imagine this, Unataka kushindana na mimi Star TV Malecela? Kwanini tushindane? Na tunashindania nini? Kushindania kugombea nafasi nyingi za uongozi na kushinda ndani ya chama kinachoshtumiwa kulemewa na mzigo mzito wa Rushwa? Malecela Really? Can you stoop that low my brother? You are very old William, Umri wako na wangu ni tofauti sana, umri wangu ni mdogo hata kuliko miaka uliyoishi ughaibuni..a competition with Me???

Ona unayoandika William:NAKUNUKUU SASA:
"Hebu linganisha CV hapa uone kama ni fair kwa mimi ku-debate na huyu Kilaza mwenzenu:
1. Nimegombea Kata ya Kivukoni na kushinda kama Katibu.
2. Nimegombea Ujumbe wa CCM Wilaya ya Ilala na kushinda.
3. Nimegombea Ujumbe wa Wazazi Mkoa wa DSM na kushinda.
4. Nimegombea Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa na kushinda, Mjumbe wa Baraza la Wazazi Taifa na kushinda, Mjumbe wa UVCCM Taifa na kushinda.
- MAJUZI KWENYE MKUTANO MKUU WA TAIFA WA CCM, NIMEGOMBEA NEC VITI 10 BARA, KATIKA WAPIGA KURA 2,000 NIMEPATA KURA 800 NA KUWA MTU WA 12, na yote haya nimeyafanya in only 10 months baada ya 30 years majuu, sasa imagione ningekwua sikuenda majuu kama yeye sasa hivi ningekuwa wapi?
- Sasa hebu weka CV ya huyu Kilaza wenu mtoto wa Wassira mdogo tuone kama kuna balance ya mimi ku-debate naye! ha! ha! YAANI NO WAY ANA JINA TU LA WAZIRI WA CCM WASSIRA!
I MEAN SHAME ON YOU!!KUNILINGANISHA NA HUYU KILAZA!! HA1 HA! HA!" MWISHO WA KUNUKUU.....

Kweli William, kwa Lugha hii, wewe ni kiongozi kweli? na kuna watu kabisa wamekuweka madarakani??

Kwa kukusaidia, do you know that most definitely "Malecela" ni jina kubwa zaidi ya "Wasira"?Ukitaja "Malecela" unataja 1. Makamu wa Kwanza wa rais 2. Waziri Mkuu. huoni kwamba una mzigo mkubwa sana wa kuhakikisha kuwa you dont take to ruins the "good name of your father", embu tumia basi dhana ya "Added advantage" for the best! You believe am getting cheap popularity just cause nina ndugu mwenye jina hili CCM, embu basi lets see you do it, maana up until now, you are not doing it William. I have seen several of your contributions in many important issues, and anstead of people feeling proud of you, they always complain about you..!! Are you proud of that? Umeshawahi kujifanyia "Tathmini binafsi"?? Please I recommend some "Self Assessment exercise".
Umeniita kilaza,sijui ukilaza wangu ni nini, well, maoni yako na hayo; Ukilaza ni very "relative", inawezekana ni Kilaza "ukinilinganisha na WEWE", itabidi nitafute busara yako ili nijifunze kutoka kwako maana am yet to come across that attribute from you.. lakini unaposema Mwenyekiti hana hata shahada moja,sikia nikwambie na uisajili hii kwenye Masjala ya Akili yako kwamba, WAZALENDO 10 WASIO NA SHAHADA ZA ELIMU YA JUU WANAWEZA KUBADILISHA NCHI YETU IKAWA A BETTER PLACE KULIKO HATA WASOMI 100 WENYE SHAHADA ZA UZAMIVU NA WASIO WAZALENDO, WENYE TAMAA NA UCHU WA MADARAKA NA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI KILA KUKICHA KWA MASLAHI YAO BINAFSI...

Na kwa kukusaidia zaidi William, acha siasa za Personality!! Show your political Maturity..Usijisahau na usiwe na kiburi cha uzima..Uongozi mnaotaka kuturithisha sio wenye sustainability ya mawazo mapana na yenye mantiki ya kusaidia generations to come.. Fikiria watoto wako na wajukuu zako, they need to find a better place to dwell in and they will play happily and celebrate your life, they will put flowers on your grave with tears of joy and pain, that we had a Father and Grandfather William, who fought for our country, he was a HERO..! Lakini, kwa kupotoka huku, unaweza ukajikuta unazikwa na Manispaa!! God forbid!! CHANGE..!!

Majibu ya Le Mutuz! Judge mwenyewe!
- Woow here we go, what the hell is this "Calculated Respeonse" What is that? Can someboy help me please eti hiyo ni nini people? So umeandikiwa na watu wengine maana ndio the meaning ya Calculated Response, I mean I dont od that ninaandika hoja na viroja lakini siandiki Calculated Response what is that?

- Anasema kujenga ufalme? What is that Tanzania kungekwua na Ufalme wewe ungekwua na nafasi ya kuikosoa Serikali ya CCM? Chadema mmepataje ubunge viti 45 katika nchi ya kifalme ninayoijenga? Ninaijenga wapi Bongo? So wewe ni ndiye the future ya Chadema? Really?

Le Mutuz!!

- Holly cow sure baby jina la ukoo wako ni la kiongozi wa taifa la kifalme kama mwenyewe ulivyosema, kamaninakuosma right ni kwamba wewe umekulia kwenye ufalme,ukawa Bongo Flava under ufalmewa jina baba, so now unasema huu ufalme uliokufikisha hapo ulipo ni wrong? When did you find that out baada ya kujaribu kuuza recods zako za bongo flava na kushindwa kwa sababu haziko supa sasa umeamua kwamba ufalme ni wrong?

- Ok so ni kwa sababu ni Wassira, ndio maana una fursa ya kupata madaraka Chadema bila hata kugombea anything just like that? Unasema wananchi wamekosa Good governance really? Wewe leo haki ya kuitukana Serikali na kutofanywa lolote unaipta wapi katika Taifa ambalo unadai halina haki? Baba yako amekuwaje Waziri katika Taifa ambalo halina haki? So in your mind kuwa Chadema ndio kulipenda Taifa, lakini usipokuwa Chadema huwezi kulipenda taifa lako? And you call this great minds? You call thisa Calculated Response!

- So masilahi ya wananchi unaweza kuyaonaukiwa Chadema tu? So how come wananchi majuzi tu wamewakataa kwenye Udiwani? Yaani with all due respect Ester bado sana kwenye siasa za Taifa, ndio maana nimeshauri ugombeee ujumbe hata wa Kata kwanza kama mimi ndio may be utaelewa kwamba Tanzania ni nhi huru na wananchi wote tuna haki sawa ndio maana na wewe una haki ya kuamua kwamba Serikali haifai na wengine pia kama mimi tuna hakihiyohiyo lakini sio lazima wote tuwe Chadema!!

Le MutuZ
- Mwanzoni nilidhani wewe ni kiongozi wa Taifa kama mimi and then sasa nimeambiwa kwamba wewe ni Bongo Flava, I mean kushindana na wewe on what? Nah that will never happen, siwezi kushindana na Kiongozi mwenye jina tu bila kuchaguliwa na wananchi, hata wa kwenye Kata!

- I mean this JF hapahakuna umri ukiingia hapa niGreat Thinker tu, ukweli ni kwamna ninaomba radhi sana nilipokuwa ninasema kukutana na wewe kwenye National TV nilidhani wewe ni Kiongozi wa Taifa lakini kumbe ni Bongo Flava no way, sorry for that siwezi kuingiakwenye malumbano na mtu anayedhani kwamba anatakiwa kuonewa huruma kwa sababu umri mdogo, hapaJF we do not have that hapa ni hoja, huwa hatujali hojauimetoka kwa nani wala umri hatuna ubaguzi, ukweli ni kwamba yes I was wrong kwamaba ninaweza ku-debate na wewe siwezi maana utaishia kulia lia kwamba ni mtoto mdogo,

- Kwenye hili uko right mimi sio size yako kabisa yalikuwa ni makosa yangukuamini kwamba kwa vile upo hapa JF basi ni mtu uliyekomaa kumbe bado ni mtoto, sasa utaingia siaa wapi ambako wantaka siasa za watoto wadogo tu wa umri wako? Maana ukiingia kwenye Ubunge utulimwa na utalia kwamba ni mtoto mdogo,I mean I take that back wewe sio my size ya ku-deabtew with ni mtoto mdogo sana kwa kila kitu, kama ulivyolia lia mwenyewe hapa!!

Le Mutuz!!
- So one minute unasema ni Serikali ya kifalme huipendi, lakini another minute unasema Serikali hii imezaa majina makubwa including of your father you like it na unataka kulitumia like an added advantage? So unasema Tanzania tuwe na Viongozi wea kuchaguliwa nawananchi na wengine kama wewe wa majina ya baba tu?

- Unasema na mimi nijaribu kutumia jina la baba no way baby, mimi nimegombea Kata kwanza na wewe kajaribu uone, sijawahi kuja hapakutafuta anything zaidi ya kukitetea chama changu CCM, do I expect wapenzi wa Chadema wawe proud na mimi mtetezi wa CCM? are you kidding me1 so wewe unakuja hapa ili watu waawe proud na you meaning umekuja hapakufuata upepo wa Chadema? kama suio kutafuta cheap popularty ni nini Ester?

- Yes they always complain about me kwa sababu ninawapa za usokuhusu uozo wa Chadema chamachako, yes kimeoza ndio maana wewe kwa kuwa na jina tu la Wassira unakuwa Kiongozi wao that is a shame nashangaa sana kwamba youarepoud of that!

- ans you want me to be like you? proud of being kiongozi kwa sababu ya jina la baba tu?

LE Mutuz!
- Whaat? Wazalendo 10 vilaza wanaweza kuibadilisha nchi hii? Really? And this is what you call a Calculated Response? Nimeshindwa kusoma mpaka mwisho baby!!

Le Mutuz!!
- Whaat? So unarithishwa na Chadema kuwakiongozi kwa sababu baba yako ni Wassira? Sasa unanilinganisha na miminiliyegombea kata na kushinda, gombea kama mimi kwanza and then njoo hapa sio kupewa uongozi kwa sababu ya baba mimi sio sister!!

- Sio umeingia Chadema kwa sababu unaogopa kuzikwa na Manispaa?

Ester, naomba kumaliza kwa yote niliyoyasikiakuhusu wewe siamini kwamba hii article umeandika wewe ninaamini kwamba kuna mtu amekuandikia mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri, nakuomba sana next time adnika mwenyewe cause nimesikia kwamba una akili zaidi ya hizi za kurithishana uongozi, suala laku-debate na wewe ni out maana siwezi ku-deabtena wanaolia kwamba ni watoto wadogo, mimi huwa nacheza this game na watuwazima wenzangu!!

Anyways have a good day!! na siasa siovita wal ugomvi! KIDUMU CCM!!

Le MUTUZ!
/
QUOTE=W. J. Malecela;5121103]-Sad uzalendo kwako ni kuwa mtoto wa Wassira mdogo na kupewa uongozi Chadema bila kugombea anything? And you wnat me to be kama Ester?ha! ha! ha!

LE Mutuz!!
- Yes nilisema niThe King Of All Social Network Bongo Media, nimekuja tayari thread imejaa ni kawaida, lakini kamakawaidahoja hamna eti hoja ni uzalendo ni mpaka uwe Chadema na ikibidi uwe mtoto wa Wassira uingie Chadema, poleni sana people!!

Le Mutuz!!
- Duh! siwezi ku-argue lakinikiongozi wako Ester Wassira amekuja kunijibu mbona hakujibu wengine wote ila mimi? Tumia akili japo kidogo tu bro!!

Le Mutuz!!
- Sasa muhamishe tena why? Ninashukuru kwamba Ester amejitokeza mwenyewe na kudai ni mtoto mdogo sana for this, so tunajadili vipi siasa na watoto wadogo, halafu seriously sikujua kwamba Ester ni Bongo Flava!!

Le Mutuz!!
- Bro niamini nimemuonea huruma sana Ester kwanza amelia kwamba ni mtoto mdogo na pili sikujua kwamba ni bongo flava, nimetumia busara sana kutomjibu kama ambvyoingekuwawewem, mngeniambia mapema kwamba ni bongo flava na ni mtoto mdogo nisingepoteza muda naye!!

Le Mutuz!1
- Sasa mahakamani kama hapa mtu akishalia mtoto mdogo then inakuwaje, unampa nafasi ya kuwa mtoto lakini next time ajifunze mambo ya watuwazima na watoto wadogo, JF sio mahalai pa watoto wadogo!1

Le Mutuz!1
Sasa Le mutuz unasema Esther ni Bongo Flava, wewe ni nani? Angalia hapa
http://www.bongo5.com/mtoto-wa-malecela-atinga-kuigiza-bongo-movies-na-sinta-08-2012/
 
Last edited by a moderator:
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,450
Likes
32
Points
0
Age
39
Muke Ya Muzungu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,450 32 0
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.Chanzo: Esther Wassira- Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers, Atahakikisha Ana Make The City Very Hot. | Bongo5
Dadangu, tukiwezeshwa tunaweza. Huu ni mwanzo tu, tutapambana nao hadi kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
I

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,545
Likes
13
Points
0
I

ibange

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,545 13 0
Huyu dada balaa, ni Iron Lady mpya wa Tanzania. Kwa kweli ana ujasiri wa ajabu na haonekani anatania!
 
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,149
Likes
19
Points
135
Fredrick Sanga

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,149 19 135
Hiki ni kifaa, tayari ile saa imefika, songa mbele, tuko pamoja sana. But Ruth replied, "Don't urge me to leave you or to turn back from you. Where you go I will go, and where you stay I will stay. Your people will be my people and your God my God. Ruth 1:16. This is M4C.
 
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Likes
61
Points
145
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 61 145
Huyu Esther Wasira ni mbunge? Huenda kuna makosa hapo juu.
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Likes
4
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 4 0
sio mbunge naona mtoa uzi mapenzi yamezidi kwa Easter,

Ni kifaa cha kweli hiki
 
I

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,545
Likes
13
Points
0
I

ibange

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,545 13 0
Kwa kweli kwa sasa sidhani kama kuna mwanasiasa mwanamke Tanzania mwenye uwezo na ujasiri kama Esther. Chadema nadhani huyu anastahili kitengo muhimu ili akitumie kuwajaza wanawake ujasiri. Nadhani hata kitengo cha propaganda kinamfaa sana!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,822
Likes
46,286
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,822 46,286 280
Mbona hafanani na Steven Tyson Wassira? :becky:
 
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
648
Likes
19
Points
35
Age
46
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined Nov 1, 2010
648 19 35
Ni mwanaharakati na. Mwanasheria
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,822
Likes
46,286
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,822 46,286 280
Yaani kweli akipewa kuongoza nchi ndani ya siku 100 kutakuwa na mabadiliko yanayoonekana?

It's that simple? Really?
 
I

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,545
Likes
13
Points
0
I

ibange

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,545 13 0
Yaani kweli akipewa kuongoza nchi ndani ya siku 100 kutakuwa na mabadiliko yanayoonekana?

It's that simple? Really?
Ukimwona mwanamke wa aina hii ujue anamaanisha, haonekani kama anatania
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers’ | Bongo5
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,365