mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
"USIRUHUSU UMRI UKAKUPA PRESHA"
LIVE YOU ARE LIFE
LIVE YOU ARE LIFE
Huo umri ni sawa umeshakosa magoli mengi sana, sasa imefika dk 95 umepewa penalt halafu ukimwangalia keeper ni kama kaenea kwenye goal galafu kama anarukaruka hivi kuziba hata vipengo vidogo.



dahMkuu embu edit kidgo apo kat"USIRUHUSU UMRI UKAKUPA PRESHA"
LIVE YOU ARE LIFE
Acha kuupotosha kwa %nyingi Africa wengi wakikfika 45 ndo umri wa ulichosema na sio chin ya hapo. Tunapambana hatuoni umri.Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.
Sio pote pote ushindwe.
Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.
Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Sure kabisaNipo 36, ila najihesabia niko 44 ili nipate hasira zaidi ya kutafuta.
Kiukweli hapa nilipo ni Mungu tu, zaidi ya kujibana ( sinywi pombe, sihongi sanaaaa) kiuchumi sijahustle sana kupambania maisha.
Kwa wapambanaji sky is the limit , ukisema naweza hakuna wakukuzuia labda kama unawaambia watu wasiohusika.
Malengo ni mambo yenye Manufaa sio mambo muhimuLakini mkuu hivi vimalengo sio muhimu kwani?
Mjinga yeye🤣Mkuu embu edit kidgo apo kat