Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,152
- 132,189
Basi ulivyo jikausha, ni kama hakijatokea chochote.Unatumia nguvu nyingi saña kuuaminisha umma kwamba "Ronaldo is the best".
Messi anajipambania umaarufu wake, matendo zaidi.
Ronaldo anapambaniwa umaarufu wake, matokeo kidogo.
Hivi hii mnaifanyaje mpaka inawezekana?