Video zako zinaonesha incidents za Ronaldo aki-dive.
Hazioneshi magoli aliyopata kwa faida ya diving.
Na mimi sijawahi kataa wala kumtetea Ronaldo kuwa sio mtu wa diving.
Mara kadhaa humu nimesema kuwa pale Laliga, kuna wakati Ronaldo alishika nafasi ya 6 katika orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa diving.
Na Ronaldo aliwahi kupata kadi zaidi ya 5 kwa kukutwa na hii hatia ya diving.
Naweza kutetea hoja yangu kuonesha upendeleo wa wazi ambao Messi aliwahi kunufaika katika kipindi cha Negreira kwa kufunga magoli yasiyo ya halali kwa mifano hai kama huu.
View attachment 3645775
Au tukio maarufu la June 9, 2007 kwenye mechi dhidi ya Espanyol ambapo Messi alifunga goli la mkono.
View attachment 3645805