moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 775,926
Hiyo ndiyo maana ya umaarufu.Mi sio mchambuzi mimi ni shabiki na nilijipambanua tangu mwanzo.
Hao wajuu hao ndio wachambuzi ila wote wanamchambua mtu mmoja tu.
Hii ndio nikiyoisema mwanzo.
Akishinda Messi, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Lamine Yamal, mjadala unakuwq ni Ronaldo.
Akisipofunga Ronaldo, mjadala unakuwa ni Ronaldo. Akifunga Ronaldo mjadala unakuwa Ronaldo.
Na timu anayochezea Ronaldo ikifungwa, ikifunga mjadala ni Ronaldo.
Kama kauli yangu ni uongo jaribu kufuatilia wachambuzi wetu wa kina Suma Mnazaleti wa JF.
Upande mmoja utasifiwa upande mwingine utapondwa.