2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

You can not pass by and not appreciate the beauty of this pic
FB_IMG_1784792711384.jpg
 
Naona beki za Madrid ziliambiwa na FIFA zisimpokonye mpira MESSI.
Dah hawa FIFA wanambeba sana huyu MESSI cheki wanavyombeba.
 
FIFA wapuzuzi sana wanambeba sana huyu ANDUNJE😊
 
Taratibu naona mmeanza kusogea mmoja mmoja.

Leo umeanza na post moja, keep going bro that's big progress I can say.

Kesho unaweza kuachia mbili mpaka tatu kulingana na hali ya majeraha maana vidonda najua bado ni vibichi.

And I promise you, when you post it I will be there to congratulate for the little step that you've made.

Nyie ndio mfano halisi wa ile kauli maarufu ya "time heals"

Baada ya game ilionekana ngumu sana kutegemea kuona hiki ulichoweza kukifanya leo.

Could you give us some tips, so maybe we can help other brothers too who shared the same pain but don’t seem to have recovered yet?

Da'Vinci herman joshua ombeni maujanja hayo kwa jamaa sio mpaka mimi nijiongeze.

Nitawasaidia mpaka lini? Kuna muda na mimi nitakuwa nachoka, jiongezeni.
😂😂hayo mambo mkifanya nyie inatosha, wacha me nienjoy vitu vya uwanjani.
 
Dah maisha sasa yamekuwa hayana raha world cup ilikuwa inatupa furaha bwana....2030 mbali sana aiseee
 
comrade_kipepe Mjomba Malume Da'Vinci herman joshua hearly Ziroseventytwo hydroxo Countrywide Al-mukheef Mi mi moudgulf Poker
adrenaline BUSH BIN LADEN

🚨Breaking News: fainali inaweza kurudiwa!

FIFA imesema maamuzi tayari yamefanyika kupitia kikao chake cha dharula huku tangazo rasmi likitarajiwa kutolewa asubuhi ya kesho.
View attachment 3634344

Kulingana na repoti kutoka vyanzo vya ndani, Kocha wa Argentina amedai kuwa baada ya mechi kulikuwa na matukio yasiyo ya kawaida kwenye dressing room wakati wa half time.

Refa huyo aliendelea kusema, walichagua kukaa kimya wakati wa mchezo lakini waliapa kufunguka baada ya mchezo kuisha.

Ripoti ya Argentina ya malalamiko tayari imewasilishwa rasmi FIFA ikiomba uanzishwe uchunguzi.

Inadaiwa kwamba CCTV footage zinaonesha kuna vitu visivyokuwa vya kawaida (liquid substance) kuwekwa katika vyakula kwenye dressing room waliyotumia Argentina.

Madaktari na wataalamu wa FIFA wamebaini kuwa vimiminika hivyo vilikuwa na uwezo wa kusababisha misuli kukaza na mwili kuchoka.

Meanwhile, ile footage ambayo inasemwa kuwa ni ya siri, tayari imevujishwa na sasa imeanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
View attachment 3634336
Kufuatia haya madai, FIFA imeamua fainali kurudiwa upya.

Mechi hiyo ya fainali inatarajiwa kupangwa mwezi August tarehe 35
😂😂😂😂 sie tunalo, labda irudowe kwanza mechi na portugal.
20250609_115208.jpg
 
FIFA wapuzuzi sana wanambeba sana huyu ANDUNJE😊
View attachment 3635293
Thomas Muller juzi amefunguka kusimulia tukio la mwaka 2010 kwenye World Cup lililomsababishia kupata kadi ya njano.



Messi alishika mpira kwa mkono na ulivyotoka kwake ukaenda kutua kwenye mkono wa Muller ambapo mkono huo ulikuwa kwenye natural position.

Wakati tukio hilo linatokea, refa alikuwa karibu na Messi lakini hakufanya maamuzi yeyote.

Lakini Messi alipoona mpira umetua kwenye mkono wa Thomas Muller, Messi alim snitch kwa refa na jamaa akapewa kadi ya njano.

Ni kadi ya njano ambayo ilienda kumfanya akose mechi ya fainali kwasababu alikuwa na jumla ya kadi mbili.

Na ukumbuke mwaka 2007 kwenye nusu fainali ya Copa America Messi alishika mpira hivyo hivyo mbele ya refa tena makusudi zikiwa zimebakia dakika chache mpira kuisha.

Refa (Carlos Chandia) akamfuata na kumwambia hii ni faulo ambayo ilistahili kadi ya njano ila sitakupa kadi ya njano, utanipa jezi yako kama return ya favour niliyokufanyia.

Na ukumbuke hapo Messi alikuwa tayari ana kadi moja ya njano aliyoipata kwenye michezo iliyopita, hiyo ikimaanisha kadi hiyo ya njano ingetolewa ingemfanya akose mechi ya fainali.
 
Njia pekee ya Argentina kupata shoot on target against Spain
FB_IMG_1784885816935.jpg
 
After the final, Argentina players were seen turning their backs on Spain while lifting the cup. Many thought this was a sign of disrespect, but it was later confirmed they were just looking at the goalposts, which they hadn’t seen all game.
FB_IMG_1784886161930.jpg
 
Back
Top Bottom