Bora walivyobondwa Tena kipigo Cha mbwa Koko 😄😄Belgium = 3
Us = 1
Maumivu yote ni kwa Trump. Je, atatumia missile kuiangamiza Belgium?
Leo hii mmebadilika 😄😄😄WC si kipimo cha mchezaji kuwa GOAT! bali mafanikio binafsi ya mchezaji na mchango wake katika football vinamfanya awe GOAT, CR7 anastahili kuwa GOAT hata kama hajachukua WC.
😄😄😄 Lazima wafanye hivyoKwahiyo mashabiki wa yule Mbuzi watahamia kuishabikia Misri?
Au bado wanajitafakari?
Lukaku ndiye aliye pigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Marehemu.View attachment 3624077
For the records...
Ukitaka kujua umuhimu wa WC kwa CR7 angalia alivyokua analia baada ya kutolewa.Leo hii mmebadilika 😄😄😄
Wakati Messi Hana WC mlikuwa mnasema Messi Hana hadhi ya kuwa Goat , mwanaume akapambana mpaka wakatwaa WC but Leo hii baada ya kuona cr7 kafeli kupata WC now mmekuja na hivi visingizio Binaadamu bhana 🙌
Nawashangaa mashabiki zake wanashindwa hata kuliona Hilo 😄😄😄Ukitaka kujua umuhimu wa WC kwa CR7 angalia alivyokua analia baada ya kutolewa.
Wangemuita Alexander Anold wangenyanyua kombeEngland wangekuwa na kiungo mkabaji dizain ya pick ngolo kante wangebeba kombe mapema tu
ila pale katikat panavuja
Hakuna kitu kimenifurahisha kama kuamka nakuta Yuesiei kakandikwa 😀Lukaku ndiye aliye pigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Marehemu.
BwahahahahahahahahahaTumeumbwa kusahau jamani…View attachment 3623988
Safi sanaaaaaa . Yule mmatumbi 🇺🇸 akome kutufokea sasa!.View attachment 3624077
For the records...
May their souls rest in peace !Canada
Mexico
USA
Asanteni kwa kushiriki.
Hii ilikuwa nafas ya Senegal kabisaView attachment 3624077
For the records...
Hawakuwa na kocha Bali msimamizi wa mazoez mwenye hofu ya kufanya maamuzi magumu Kwa ajili ya timu, Ronaldo hakutakiwa kumaliza ile mechiMpira bhana, hii combo imeshindwa kufanya kaziView attachment 3623989