Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,478
- 2,704
Leo namhurumia sana Scars 😅😅😅😅Mtimue kabisa mkuu anakuchosha bure tu na wakati una huzuni
Leo namhurumia sana Scars 😅😅😅😅Mtimue kabisa mkuu anakuchosha bure tu na wakati una huzuni
🤣😂 Lala sasa kisukari kitapanda sana, bado JF inahitaji comments zako keshoNimeisapoti Portugal kwasababu ya Ronaldo.
And now he's gone that means my support also will gone.
View attachment 3624034
Wanabalaa mno haooWanajua tena na tena!🙌🏾
Kabisa naunga mkono hojaIlikuwa zamani brazil
Bado wame kariri badala ya kujenga kikosi. Hata zaman Brazil haikuwa nzuri ni vile nchi nyingi hazikuamua ku investKabisa naunga mkono hoja
Unatumia nguvu nyingi saña kuuaminisha umma kwamba "Ronaldo is the best".Ukiwa upo upande wa Ronaldo utagundua yule ni mdogo sana yule wala hawezi kumpa mtu shida.
Mechi yenu ya Afcon dhidi ya Egypt mnacheza lini?
Sizani kama france anabeba kombe hili kombe linaenda tena amerika kusiniBado wame kariri badala ya kujenga kikosi. Hata zaman Brazil haikuwa nzuri ni vile nchi nyingi hazikuamua ku invest
Now nchi zinajiqndaa Na ku invest …. Wao Brazil wanabak na jina la zaman
Kikosi kizima kina mabishoo
Halaf kwa sasa Brazil wanachukua majina ambao washakuwq mabishoo kama kina Neymar
Zaman walikuwa wanaibua vipaji kutoka Uswahilini na
Kuwapa uwezo kama kina ronadinyo miaka hiyo … Yaani watu wanafanya kumsikia kwa mara ya kwanza in World Cup
Sisi wa Canada tumekosa tu striker wa maana
Kombe linaenda France this time
Tupo live kakaMmesleep?
ungeiandika kwa kiswahili hii,ningeielewa mimi mmatumbi kipilipili.Jarell Quansah is the first England player to be sent off at the FIFA World Cup since Wayne Rooney in 2006 against Portugal.
HaweziBelgium = 3
Us = 1
Maumivu yote ni kwa Trump. Je, atatumia missile kuiangamiza Belgium?
WC si kipimo cha mchezaji kuwa GOAT! bali mafanikio binafsi ya mchezaji na mchango wake katika football vinamfanya awe GOAT, CR7 anastahili kuwa GOAT hata kama hajachukua WC.Usiseme kila kitu wakati unajua hana kombe la dunia wala tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia
kwani CR7 na Messi walipoanza kucheza mpira waliwaarifu mashabiki kuwa wameanza kushindania kuwa nani bora kama si sisi tu wamatumbi kupenda kulinganisha? ronaldo amefanya kile awezacho bila kuangalia wala kujifananisha na yeyote,vilevile kwa messi,inakuwaje nyie mnawalinganisha? kwa nini msijilinganishe ninyi kwa ninyi namna mlivyofanikiwa mkaachana na mafanikio ya messi na ronaldo? Niwaulizeni, kipindi anacheza ronadinho gaucho mlikuwa mnamlinganisha na nani?Acheni uzwazwa,kila mtu anastahili heshima.Mwanafalsafa mmoja anaitwa Machiavelli alisema "The end justifies the means".
Mjadala wa nani ni bora zaidi umehitimishwa na Matokeo ya mwisho...