Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,846
- 49,273
Duh!..
Messi kwa penalty zinamsumbua sana
Messi kwa penalty zinamsumbua sana
Penat ya mchongo, na yule aliyesababisha hakutumia akili alicheza fyongo sanaRefaaaaaaaaaaaaaaa baada penat ya mchongo bado red card 🤣🤣🤣🤣
Haki ya Mungu wacha tu nikae kimya
😀😀 ni kheri.. kuliko uongee sana afu kiwakute kituHaki ya Mungu wacha tu nikae kimya
Wakipaki bus itawagharimuShida ni nidhamu ya kushikilia bomba na kuendelea kupeleka moto ili kupunguza hatari zaidi golini kwao. Hawatakiwi kulinda hili goli moja sasa hivi bado mapema mno.
Kiburi gani, acha kumpaka Mafuta bana, Sema tu kashindwaMwamba ana kiburi hataki magoli ya penati
Mungu sio mpare jamaniWakishuaaa asante. penati ya mchongo imemaliza machungu ati mbuzi wa blue na nyeupe kakosa penati
Kijana mzuri uchawi basiLeo niko misri na kina salah hawa wabaguzi akina leo messi wapigwe tuu kubaabake