Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,992
NevaImagine 🤣🤣
NevaImagine 🤣🤣
Wew unavyona misri walikua hawaitaji subs.Amtoe nani sasa mkuu. Sio kila ubovu jibu lake ni sub. Egypt siwadai hawajakosa clear chance yeyote, hawajapaki basi, hawajaacha kushambulia.
NAWAKUMBUSHA TU vitukuu vya babu RonaldoNyie wajukuu wa kikongwe Ronaldo, mtake msitake Argentina anashinda hii game, iwe kwa halali au dhuluma 🤣😂 GOAT hawezi kutolewa na Egypt. Yaani leo hata red card itatoka tu ili Messi afuzu
Nimevunjika moyo Shadeeya yaani siku zote timu zetu ndio hazina bahati!?Sesten Zakazaka uko wapi kwani? 🤪
Daah! Hatimaye Mtani.Game over🔥🔥🔥🔥 @ shadeeya
Kweli, fifa ni yenu kweliFIFA boys katika ubora wetu mamaeh
View attachment 3624490
Exactly!A very BIG POINT, nilikuwa nabishana na washkaji hapa, ukibaki kuzuia utafungwa TU au utasababisha fouls za kufungwa
Egypt walipaswa waache washambuliaji watatu au wanne kule mbele ili Argentina wasijae golini kwao
Kuna got na GOAT🤣🤣🤣🤣Tukisema GOAT ni mmoja tu...
Mtuelewe....si kwa ubaya..