comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,491
- 17,401
Jamaa Hadi nations league anaihesabu ni Moja ya mafanikio ya babu la kireno, jamaa hayupo serious huyuUnazungumzia ile fainali ya kombe la CHAN la Ulaya🤣🤣🤣
Hapa tunaongelea makombe ya maana sio mabonanza