Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,362
- 10,420
Hivi GOAT ni kwenye nini hasa?Mashabiki wa Manchester ndio sisi, mtu yeyote aliyemgeuka GOAT huyo ni mamluki.
Hivi GOAT ni kwenye nini hasa?Mashabiki wa Manchester ndio sisi, mtu yeyote aliyemgeuka GOAT huyo ni mamluki.
Chini ya pajaHivi GOAT ni kwenye nini hasa?
Mtimue kabisa mkuu anakuchosha bure tu na wakati una huzuniTokapa unanipotezea muda
Ronaldo ni goti au sio?Chini ya paja
Kwanini?Kati ya timu ambayo inatakiwa itolewe mashindano yafanyike kwa amani ni hao Marekani
Uwezekano upo. Na kama hawataweza basi france akikutana na Spain ndio mwisho wakeMkuu unahisi Morocco ataifunga France?
Ronaldo ni goti au sio?
Nimekuelewa..hawataweza
Hivi mkuu hizi habari zilikuwa na ukweli wowote
Mwanafalsafa mmoja anaitwa Machiavelli alisema "The end justifies the means".
Hivi mkuu hizi habari zilikuwa na ukweli wowote
View attachment 3624019
Mwanafalsafa mmoja anaitwa Machiavelli alisema "The end justifies the means".
Mjadala wa nani ni bora zaidi umehitimishwa na Matokeo ya mwisho...
Hujanijibu lakini naona umeleta propaganda tu🤣
Leo namhurumia sana Scars 😅😅😅😅Mtimue kabisa mkuu anakuchosha bure tu na wakati una huzuni