Mimi zaidi!!! USA out!!!! Hii ni muhimu kwa Afya ya World Cup 2026 Tournament kwa sababu kuna kichaa mmoja anayeitwa Trump anataka kuleta usenge kwenye haya mashindano!!!Nimefurahi sana mkuu
Huko Portugal Nina washabikia Ronaldo na Mourinho,kwa kuwa cr7 katoka nasubiria Mou aichukukue timu ndio nirudi tenaNimeisapoti Portugal kwasababu ya Ronaldo.
And now he's gone that means my support also will gone.
View attachment 3624034
Nimefurahi sana mkuu
Muda utajibu...Mkuu unahisi Morocco ataifunga France?
We jamaa huwapendi hawa Waarabu kwanini?..Hapa akitoka na Morocco daah magoli sana
Hapa akitoka na Morocco daah magoli sana
Kwahiyo mashabiki wa yule Mbuzi watahamia kuishabikia Misri?
Au bado wanajitafakari?