2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Tujadili sasa stats za Anduje na Ronaldo kwenye mechi walizocheza dhidi ya Spaina.

Naanza na mimi, Ronaldo alikuwa na shot on target 2

Anduje alikuwa na nini?
Kwanza penaldo alikutana na Spain hatua gani?
 
Katika hatua zote Ronaldo amecheza na Spain

Kwenye hii World Cup wamekutana kwenye hatua ya mtoani 16 na Ronaldo aliondoka na shot on target 2 ndani ya dakika 90.

Lakini kwenye fainali pia wamekutana naye mwaka jana ambapo Ronaldo alifunga bao moja.

Na hii fainali ni Portugal ndio aliibuka mshindi.

Tupe na wewe takwimu za Joti.
 
Ukinionyesha mchezaji mwenye Ballon d'or zaidi ya 5, assists zaidi ya 400 na golden balls za kombe la dunia 2 nakuonyesha mchezaji mwenye hayo mabao 976
Ballon d'Or zishapoteza credibility, ni tuzo zinazotolewa kwa connection.

Ballon d'Or za Dwarf nyingi ni robbery mfano 2010 , 2021 na 2023 humo kafanya uporaji wa kiwango kilichoacha maumivu makali sana kwa wachezaji halali waliostahili.

Assist mpaka iitwe assist ni mpaka imfikie mtu ambaye ni bora kwenye ufungaji then afunge, watu 100 wanaweza kutoa pasi katika mazingira sawa ya mchezo ila ni 20 tu wataofanya hiyo pasi iwe goli.

Kwa wataofanikiwa kufunga kwa hiyo nafasi basi pasi hiyo itaitwa assist na kwa ambao watashindwa hiyo itakuwa ni shot on target/off target japo mazingira ni yale yale yanayofanana.

Kwa maana hiyo assist inaonesha ubora zaidi kwa mfungaji kuliko yule aliyetoa pasi.
 
Pole sana,

Maumivu yakizidi,pata ushauri wa Dakitari.
Daktari naye mambo magumu naye pia anahaha kutafuta mshauri amuokoe
FB_IMG_1784884186098.jpg
 
Katika hatua zote Ronaldo amecheza na Spain

Kwenye hii World Cup wamekutana kwenye hatua ya mtoani 16 na Ronaldo aliondoka na shot on target 2 ndani ya dakika 90.

Lakini kwenye fainali pia wamekutana naye mwaka jana ambapo Ronaldo alifunga bao moja.

Na hii fainali ni Portugal ndio aliibuka mshindi.

Tupe na wewe takwimu za Joti.
Unazungumzia ile fainali ya kombe la CHAN la Ulaya🤣🤣🤣
Hapa tunaongelea makombe ya maana sio mabonanza
 
Ballon d'Or zishapoteza credibility, ni tuzo zinazotolewa kwa connection.

Ballon d'Or za Dwarf nyingi ni robbery mfano 2010 , 2021 na 2023 humo kafanya uporaji wa kiwango kilichoacha maumivu makali sana kwa wachezaji halali waliostahili.

Assist mpaka iitwe assist ni mpaka imfikie mtu ambaye ni bora kwenye ufungaji then afunge, watu 100 wanaweza kutoa pasi katika mazingira sawa ya mchezo ila ni 20 tu wataofanya hiyo pasi iwe goli.

Kwa wataofanikiwa kufunga kwa hiyo nafasi basi pasi hiyo itaitwa assist na kwa ambao watashindwa hiyo itakuwa ni shot on target/off target japo mazingira ni yale yale yanayofanana.

Kwa maana hiyo assist inaonesha ubora zaidi kwa mfungaji kuliko yule aliyetoa pasi.
Hata mabao ya Penaldo pia yamepoteza credibility maana mengi ni penati

Hata tukiangalia kwenye ufungaji Messi amemzidi penaldo vibaya🤣🤣🤣
 
Unazungumzia ile fainali ya kombe la CHAN la Ulaya🤣🤣🤣
Hapa tunaongelea makombe ya maana sio mabonanza
Haya twendelee na kombe hilo hilo ambalo wewe unaliona kubwa.

World Cup ya 2018, Portugal alicheza dhidi ya spain kwenye hatua ya makundi na hapa chini ni stats za hiyo mechi.

Screenshot_20260725-124310.png

Shot on target 3 na zote ziliingia kambani.

Na zote hizo zilipigwa na mchezaji mmoja.

Unataka kujua ni nani?
Screenshot_20260725-124236.png

Nipe na wewe stats za Mr Pimbi wa Argentina
 
Hata mabao ya Penaldo pia yamepoteza credibility maana mengi ni penati

Hata tukiangalia kwenye ufungaji Messi amemzidi penaldo vibaya🤣🤣🤣
Kaangalie nani mwenye kapiga penati nyingi kule Laliga

Kaangalie nani mwenye kapiga penati nyingi UEFA

Kaangalie nani kapiga penati nyingi World Cup.

Kwenye hizo rekodi kuna rekodi nyingine ya kukosa penalti nyingi. Zote rekodi hizo zinashikiliwa na mtu mmoja.
 
Haya twendelee na kombe hilo hilo ambalo wewe unaliona kubwa.

World Cup ya 2018, Portugal alicheza dhidi ya spain kwenye hatua ya makundi na hapa chini ni stats za hiyo mechi.

View attachment 3636581

Shot on target 3 na zote ziliingia kambani.

Na zote hizo zilipigwa na mchezaji mmoja.

Unataka kujua ni nani?
View attachment 3636582

Nipe na wewe stats za Mr Pimbi wa Argentina
Eti hatua ya makundi🤣🤣🤣
 
Kaangalie nani mwenye kapiga penati nyingi kule Laliga

Kaangalie nani mwenye kapiga penati nyingi UEFA

Kaangalie nani kapiga penati nyingi World Cup.

Kwenye hizo rekodi kuna rekodi nyingine ya kukosa penalti nyingi. Zote rekodi hizo zinashikiliwa na mtu mmoja.
View attachment 3636585
Nenda kaangalie nani ana wastani mkubwa wa kufunga
 
Back
Top Bottom