2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Role model wako naye ana role model wake.

Kama jamaa yuko tayari kulipia hadi tiketi aangalie mechi ya anayocheza Ronaldo kuna uwezekano huyu jamaa akawa ni shabiki wa Ronaldo kuliko hata mimi.

Screenshot_20260722-142845.png
 
Screenshot_20260722_145319_Instagram.jpg


Ronaldo ndio MCHEZAJI pekee alieweza kuifunga timu NGUMU Uzbekistan, mbappe,Messi na halaand wasingeweza kufanya hivyo
 
Screenshot_20260722_210250_Instagram.jpg


Ni kwanin wachezaji waliocheza na ronaldo wanapenda sana kumfuata Messi ili watimize ndoto ya kucheza nae na sio ronado??
 
Screenshot_20260722_210647_Instagram.jpg


THIS IS NOT FAIR! Messi kafanya Nini kwenye wc hii ukilinganisha na ronaldo?? Hiyo sehemu ya Messi ilitakiwa awepo ronaldo.

Kweli infantino anatuharibia mpira
 
Mimi simdai kitu.

Labda huyo GOAT wako ili aweze kukaa kwenye uzani sawa na Ronaldo at least akacheze EPL na a-maintain ubora

Akitoka hapo aende Italy kwenye ligi yenye mabeki wagumu aka shine na huko.

Baada ya hapo akachukue na UEFA 3

Hapo tutakuwa sehemu sahihi kufanya comparison.
Screenshot_20260722_211841_Instagram.jpg
 
Sasa naona hapa unatoa ushuhuda wa vile wewe ulivyo mbishi.
Maana saizi tunaona excuse zimekuwa nyingi

Sijui mara Peredes alivunjika mbavu na alicheza mechi hivyo hivyo hakutaka kutoa taarifa kwasababu wapinzani wangetumia udhaifu huo.

Mara sijui Argentina walilazimishwa kukubali kupoteza fainali kwa kile kinachodaiwa kuwa ni maswala ya kisiasa ambapo Messi alionekana akiwahamasisha wachezaji wenzake kuwa wasahau kila kitu.

Haya yote yanakuja kwa ajili ya kumtetea Messi kumsafisha dhidi ya performance mbovu na kukosa ubingwa.
 
Kama Messi akishinda, kwangu ni furaha
Kama Lamine Yamal akishinda, kwangu ni furaha.

Haya Yamal kashinda.

Hii ni siku ya 4 mashabiki wa Messi
FB_IMG_1784791387718.jpg
 
Naona beki za Madrid ziliambiwa na FIFA zisimpokonye mpira MESSI.
Dah hawa FIFA wanambeba sana huyu MESSI cheki wanavyombeba.
 
FIFA wapuzuzi sana wanambeba sana huyu ANDUNJE😊
 
Back
Top Bottom