Duh!..Egypt wameanza kufunga ni hatari.
Hata mimiKwenye world cup hawa watu wawili
Argentina na spain wananikosesha raha kabisa, watolewe kwa namna yoyote ile
Smart911Kubababakeeeeeeee shenziiiiiii
Bado mapema chief..😃😃😃Safi kabisa Argentina watoke.
Mbona mmeanza kujitetea Sasa, hakusema hivi mapemaMessi kwa penalty zinamsumbua sana
Kipa kaiona jamani, kwanini lawama mumpe goat mtotoHaka kajaaa nako kaachane na penati,
Kapo very predictable