Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,886
- 21,717
Kwa hiyo jamaa alikuwa anamsema Mpango?
Kwa hiyo jamaa alikuwa anamsema Mpango?
Katiba ipi? Kama mnadai Katiba mpya hata ya Sasa hamuelewi Huwa mnalalamika nini?Katiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.
Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Wanadai ni Mzee Six (RIP)Reez1 anahusika