2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

Atachukuaje fomu wakati rais samia hajamaliza mihula miwili kwa mujibu wa katiba ya chama chao?
 
Labda achukue fomu ya ubunge, ya urais ni mpaka 2030 na atachuana na vigogo wengine wazito akina madelu na yule jamaa wa kipara
 
Katiba inataka mgombea Urais angalau awe na degree moja.

Nikumbushe Makonda ana degree ya kutoka chuo gani?
Katiba ipi? Kama mnadai Katiba mpya hata ya Sasa hamuelewi Huwa mnalalamika nini?
 
Back
Top Bottom