2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Hamna kocha mkubwa huwa analegeza
Na wenzetu mpira hawauchukuli kama wewe mambo ya simba na yanga
Nilichomaanisha ni kwamba kwa kocha mwingine labda kwenye kipindi cha pili angefanya mabadiliko ya kiulinzi zaidi ila kwa huyu jamaa hicho kitu hakipo.
 
Tunaanza kipindi cha pili.
Mda wa kila timu kujiuliza kwa kile walichokosea kipindi cha kwanza.
 
Hapa nakubalina nawe, ila striking force ya Barcelona ya moto sana
Wale watoto pale mbele ni moto
1000183197.jpg
 
Back
Top Bottom