Ile kadi nyekundu ya Dean imewaponza sana madrid.Ila mabeki watatu nyuma wakiwa na asencio SI msiba huo
Ile kadi nyekundu ya Dean imewaponza sana madrid.Ila mabeki watatu nyuma wakiwa na asencio SI msiba huo
Kwa bahati mbaya itakutana na chelselonaNatamani sana PSG ikutane na Barcelona
Hizi sifa Zina mwisho subir wakutane na Joao Pedro na neto😃😃 wamelenga kuwachapa kisawa sawa
Imagine ile game ya Bayern jamaa wako pungugu kwa watu wawili na bado wanapanda juu kabisa kukaba.Jamaa wapo vizuri kweli na kocha naye yupo fresh angekuwa Diego simione kashawarudisha wachezaji wote kupaki basi
Mechi ya Leo jamaa hajaacha pengo ni mwanya huu....yaani asencio Kuna vitu anafanya mpaka unajiuliza Madrid kafikajeIle kadi nyekundu ya Dean imewaponza sana madrid.
Mi naona udhaifu tu wa Mabeki wa Madrid.Kweli kiongozi Hawa jamaa hawaeleweki.....nahisi the blues wanajuta kuomba wakutane na yoyote Bora wangemtolea zaka Madrid tu
Ila hakuna aliyetia aibu kama Bayern kufungwa na watu Tisa dharau sanaImagine ile game ya Bayern jamaa wako pungugu kwa watu wawili na bado wanapanda juu kabisa kukaba.
Kwasasa watapigwa Barcelona
Tutaona mpira mzuri sana kwenye fainaliHizi sifa Zina mwisho subir wakutane na Joao Pedro na neto
Shida ya the blues pancha ipo kwa kipa na haya mashuti ya Fabian Ruiz mhhTutaona mpira mzuri sana kwenye fainali
RMA ni kikundi tu cha wahuni
Barcelona wana udhaifu kidogo wakuruhusu kupigwa.Itakuwa game kali sana ya mafundi yoyote anachapika hapo
Masikin mbappe hajui aweke wapi uso wake
Hamna kocha mkubwa huwa analegezaNakumbusha tu.
Kocha wa Psg ni Barca kindakindaki kwahiyo madrid wasitegemee atalegeza au kuwaonea huruma.
Akina Cucu hawatamruhusu apige.Shida ya the blues pancha ipo kwa kipa na haya mashuti ya Fabian Ruiz mhh
6Kama sio uimara wa kipa wa Madrid ubao ungekuwa unasoma ngapi mpaka sasa?
Na wahuni ndio wanatumia huo mwanya kupenyeza ulimi.Mechi ya Leo jamaa hajaacha pengo ni mwanya huu....yaani asencio Kuna vitu anafanya mpaka unajiuliza Madrid kafikaje
Yule Neto ni mpanzu mtupuHizi sifa Zina mwisho subir wakutane na Joao Pedro na neto
Naunga mkono hoja.Luis Enrique anawaonyesha watu kwamba timu sip lazima ukusanye mastaa ndio ishinde makombe Bali vijana wafoho wenye vipaji.
Mmiliki wa PSG ametupa pesa nyingi sana kununua wachezaji mastaa ila hakuweza kufanikiwa kubeba taji la ulaya akaona aajiri kocha Bora Ili amletee anachokitaka na kweli kimemlipa