Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Joined
Jul 1, 2026
Posts
87
Reaction score
140
watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup

Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on

watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup.. kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on
Hii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!
 
Here we go....
1783311870784.jpg
 
Leta timu yako ya ubingwa hapa ambayo wachezaji wake wanacheza ligi ya China au marekani!!!!
Punguza chuki halafu acha muda na mpira utaongea uwanjan
Sio chuki, hao jamaa huwa wanawakweza wachezaji wao isivyo kawaida. Walcott anafunga Hat-trick Moja tu,Kesho magazeti yao yanaandika "WALCOTT NI ZAIDI YA MESSI". Na hili litazidi kuwagharimu BIG TIME!
ENGLAND kimpira wazuri kwenye Propaganda. Hapo 100%!
 
Ligi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweli
 
Sio chuki, hao jamaa huwa wanawakweza wachezaji wao isivyo kawaida. Walcott anafunga Hat-trick Moja tu,Kesho magazeti yao yanaandika "WALCOTT NI ZAIDI YA MESSI". Na hili litazidi kuwagharimu BIG TIME!
ENGLAND kimpira wazuri kwenye Propaganda. Hapo 100%!
IT'S COMING HOME 🏆
 
hapana mkuu huoni bidii na uwezo wa timu kiujumla
Mkuu,hawa jamaa kwenye ishu ya UBINGWA usijipe matumaini nao. Kuwakweza wachezaji wao kupita kawaida na kukosa wachezaji wenye ubunifu na unyumbulifu usiotabirika kirahisi huwa kunawagharimu. Si kwenye EURO si WC!.

Haya ni maoni yangu tangu nimeanza kuwashuhudia kipindi cha wakina Beckham,Owen,n.k
 
kizazi hiki ambacho kinaongozwa na striker bora wa ligi ya bundesliga ujerumani ndo kinaenda kuleta heshima mkuu
 
Back
Top Bottom