Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,708
- 19,577
Mimi ni Mtanzania mpenda soka. Nafuatilia kwa karibu sana kombe la dunia mwaka huu, kama ilivyo,kila mtu huwa anachagua timu ya kushabikia katika mashindano haya basi hata mimi nimemchagua mkoloni Germany kama timu yangu pendwa, naipenda Ujerumani sana. sasa basi,uzi huu uwe special kwa timu hii ya Taifa,kwa uchambuzi wa matches,wachezaji nk katika kombe la dunia. Mimi ni shabiki mandazi tu,simjui hata mchezaji mmoja wa Germany,hivyo sitawaletea update yeyote ila kwa mashabiki wenzangu wa Ujerumani,karibu tupeane updates hapa.