Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
- Thread starter
- #1,621
Babu Modric anataka kuwapa watu lawama
Tetesi za vijiweni eti “amejivunja”
Makolo bana, mnajifariji na MadridKm unadhani Simba ni timu iliyoteseka sana msimu huu basi endelea kujidanganya maana hujawaona Madrid 😅🤣😂
Tena sio kidogo.Huyu ninja ana mikosi Sana
Wana kesi ya uzurulajiTisa ya Madrid Garcia imefichwa Leo na vin wake hata hawaonekani
Yanga ya Ulaya. 🫡PSG wakipoteza mpira wanafanya recovery ya haraka sana
Tisa ya Madrid Garcia imefichwa Leo na vin wake hata hawaonekani
Chelsea wangekuwa na namba Tisa Jackson peke ake wangekimbia mechi....ila Joao amerudisha Hali ya kujiaminiChelsea wataleta kweli timu jumapili?
Tunajadili mpira wa dunia ya kwanza unatuletea habari za Uto🤣Makolo bana, mnajifariji na Madrid
YaaniWasijute kufika nusu fainali
Ilikuwa vichekesho sanaNimemkumbuka Motsepe na timu zake 4
TutakuwepoChelsea wangekuwa na namba Tisa Jackson peke ake wangekimbia mechi....ila Joao amerudisha Hali ya kujiamini
Yanga ya Ulaya. 🫡