kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,830
Si wamesema wenyewe tukitaka kuwazodoa tuwacheki RMATunajadili mpira wa dunia ya kwanza unatuletea habari za Utoš¤£
Si wamesema wenyewe tukitaka kuwazodoa tuwacheki RMATunajadili mpira wa dunia ya kwanza unatuletea habari za Utoš¤£
Makolo ni matakatakaUsifananishe PSG na takataka
Haya bhanaSi wamesema wenyewe tukitaka kuwazodoa tuwacheki RMA
Hii tutakuwepo yako imekaa kiroho mbaya sana šTutakuwepo
Msilie mtarudi mkiwa imara šššHaya bhana
Kwanini mkuu?Hii tutakuwepo yako imekaa kiroho mbaya sana š
Kwahiyo Xabi anamuingiza modric kufanya comebackNgoja tuone sub ya PSG kama itaongeza magoli
Naona wanaitumia mechi hii kumuagaKwahiyo Xabi anamuingiza modric kufanya comeback
Goli 3?Mara paaap
Madrid anafanya comeback
Wanaenda na mudaPSG wamepunguza kasi
Liverpool na Ac MilaanGoli 3?
Itakuwa muujiza wa kwanza kwenye soka
Mwamba umri umesonga sanaNaona wanaitumia mechi hii kumuaga
Anaenda zake MilanMwamba umri umesonga sana
Liverpool hakuzidiwa hivi.Liverpool na Ac Milaan
Final ya UCL 2005