Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,759
- 9,088
Sahihi kabisa.Bingwa Madrid.
Sahihi kabisa.Bingwa Madrid.
Watu wanatumia hisia na mahabaKabisa wakabisha chelsea katika fainal za makombe makubwa ni fainali moja tu 2008 uefa dhidi ya man u ndo ilishindwa kutwaa tena ilishindwa kwa penati kwahio chelsea ni mfupa mgumu kwelikweli ikifika hatua ya fainal
Uko sahihi mkuu.Bingwa ni mmoja kati ya hawa
Man city
Real Madrid
Ulibeti ?Tulioangalia mpira bila ushabiki baada ya kutinga hatua ya nusu fainali tulijua bingwa atakuwa nani.
Chelsea bingwa unakumbuka nilipokuambia atakuwa bingwa ukabisha?.Hii tim ingekutana na bayern ya lewandowski mtu angebeba kiatu cha ufungaji siku ya leo
Kalaza watu na Mikeka yaoMama
Psg kala ela
Huwa sibeti mkuu!Ulibeti ?
Je umekula mkeka Boss😄
HatimayeNatamani sana PSG ikutane na Barcelona