bado goli moja nipate ya supuChumaaa cha pili...
Huyu pedro ni hatari kapachika cha piliaiseh mnao chek game vepe sec half tunaweza pata over 1.5?
Dah watu mnabahati zenubado goli moja nipate ya supu
Unasemaje?!!!!Yale yale ya flamengo vs chelsea
ikwap sasa 😳Dah watu mnabahati zenu
Mnaichukulia poa sana Chelsea eh!Chelsea akishinda ataomba Madrid ashinde kesho maana Yale majomba PSG!
Chelsea huwa anahangaishwa na waingerza wenzake ila akikutana na wa ligi nyingine, huwa sio kazi ndogo.The blauzi wanaushughulikia ipasavyo mfupa uliomshinda Inter Milan
Nimemsikia mtangazaji akisema he is taking too longYellow kadi kwa Kipa w Chelsea anapoteza muda