2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Chelsea wanaupiga mwingi, naona Fluminence wanacheza kwa tahadhari kubwa huku wakishtukiza mashambulizi. Ila huyu Arias wa Fluminence ni mtu hatari sana.
 
IMG_20250708_223809.jpg

Chelsea anabahati, wanacheza Hadi na mikono kwenye box ila VAR inakataa
 
Mpira ukiaza gusa sehemu nyingine ya mwili kisha ukaja kwenye mkono iyo sio handball
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom