2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Mpira ukiaza gusa sehemu nyingine ya mwili kisha ukaja kwenye mkono iyo sio handball
Vipi ukigusa sehemu nyingine alafu mchezaji akaublock na mkono makusudi. Sheria haipo hivyo mkuu kinachoangaliwa ni hand to ball ule mkono uliathiri moja kwa moja uelekeo wa mpira na refa naye ni binadamu

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • _20250708_231539.JPG
    _20250708_231539.JPG
    152.5 KB · Views: 5
Kuna dada mmoja shabiki wa Chelsea amemulikwa na camera hapo.
Mzuri sana
 
Mbona kama Chelsea wamekuja kipindi cha pili wakiwa na nguvu sana
 
Back
Top Bottom