2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Jackson halaaa 😃😃😃
 
Washalala hawa.

86'
Fluminense 0
Chelsea 2
 
FT
Fluminense 0
Chelsea 2.

Chelsea to The FINAL....
First Club to Final 2025....
 
Maombi yenu Wakuu Chelsea FC anaenda kupata aibu kubwa fainali ya world club cup 2025 tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Fire Maresca The Chelsea FC Coach.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Maombi yenu Wakuu Chelsea SC anaenda kupata aibu kubwa fainali ya world club cup 2025 tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Fire Maresca The Chelsea FC Coach.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mpira hautabiriki.
Kwa Game ya Jana Chelsea wamebadilika sana.
Hawatapoteza kirahisi.
 
Back
Top Bottom