uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,420
- 30,743
Wamerudisha, waalikuwa wanatujaribuHuku ndio umerudi
Wamerudisha, waalikuwa wanatujaribuHuku ndio umerudi
Watu kibao wanachapwa jua kinomaUwanja umetapika
Huku boli linatembea ila usingizi sasaWamerudisha, waalikuwa wanatujaribu
Marekani ni saa 9 alasiri au?Watu kibao wanachapwa jua kinoma
Huku walipita nao asubuh wakarudisha jioniWamerudisha, waalikuwa wanatujaribu
Usingizi saa hizi master?Huku boli linatembea ila usingizi sasa
😃😃😃Joao pedro kawapa ndizi ya uhakika sajili inalipa hii nyie manyumbu kazi mnayo
Chelsea wakishinda hii watakuwa wamewapiga magiant wote wa BrazilWhat a goal
Chelsea sio al hilali waarabu wametoka kula tende na haluwa sio chelseaFluminense FC kindakindaki npo hapa
Cheltako hamna timu hapo ukiona shabiki wa Cheltako mnene huyo ni mnafiki
Flamingo alitupiga kwani yeye sio giant?Chelsea wakishinda hii watakuwa wamewapiga magiant wote wa Brazil
Nimecheka sana.Chelsea sio al hilali waarabu wametoka kula tende na haluwa sio chelsea
FLAMENGO?Chelsea wakishinda hii watakuwa wamewapiga magiant wote wa Brazil
Yeah! Nimekumbuka, tena waliwakaza vitatu.Flamingo alitupiga kwani yeye sio giant?
Chelsea alipigwa aisee, nimekumbuka.FLAMENGO?