Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,812
- 55,628
Kabisajana ndio nimegundua bahati ina matter sana kwenye mpira
Kabisajana ndio nimegundua bahati ina matter sana kwenye mpira
unaweza ubonda mwingi ila usifunge unaishia kutolewaKabisa
refa anashenyenta kadi kama njuguGemu nzuri madrid wametoa beki wakidhani mechi imeisha huyo dogo alietolewa red card ni mtu na nusu mechi na PSG pengo lake litaonekana..
Bwana mdogo aliumia sana aisee
Madrid wanampanga kama namba tatu ila anamaliza kule nyuma vizuri sana anacheza kama kiungo anasaidia kukaba kati muda mwingine anaenda hadi shavu la kulia..Dogo kama fala vile ila hatari kabisa. Mpira akili sio mimwili mikubwa akili kisoda
Alikua mtu wa mwisho ni sahihi kupewa red kwa kutukio la kuzuia na kumshika mfungaji ukiwa mchezaji wa mwisho kupewa red card..refa anashenyenta kadi kama njugu
Pole. Ila utamu ulikuja mwishoniMkuu, hasira zote tunazihamishia kwenye ligi
Ahsante sana. Nimeangalia highlights alfajiriPole. Ila utamu ulikuja mwishoni
Sio namba 3 bali wanacheza mfumo wa 3-4-3 ambapo yeye katika mabeki wa kati watatu anacheza kama Left Centre Back (LCB)Madrid wanampanga kama namba tatu ila anamaliza kule nyuma vizuri sana anacheza kama kiungo anasaidia kukaba kati muda mwingine anaenda hadi shavu la kulia..
Twende sokoni, straika anayepatikna na anayemzidi Kane ni yupi? Ambaye tayari kasha prove katika vilabu vikubwaBayern wasajili namba 9 mwingne sis dortmund sielewi tuboreshe wap
Bayern wana mawinga wengi kuliko namba 9 ukimtoa kean anabikia yule mzeeBayern wasajili namba 9 mwingne sis dortmund sielewi tuboreshe wap
Niliangalia vibaya ratiba mech ipo kesho dhidi ya maliJamani vipi afcon ya wanawake tz anacheza lini
Ndio uhalisia hata kama mpira unadunda ila mshindi wa hapa ndio bingwaMshindi wa hapo ndio bingwa wa mashindano
Psg jana walicheza hovyo lakn naona wamewaroga wachambuz wa hapa bongo kwa kuendelea kuisifia psgNdio uhalisia hata kama mpira unadunda ila mshindi wa hapa ndio bingwa
Na kifupi bingwa ni Madrid