Chap chap.Hatari hii goli tatu za fasta fasta
Kwa wajerunan ni vitu vya kawaidaChap chap.
Dadeki
Haya mambo huku kwetu hayapo kabisa sinui tunacheza mpira gani sieChap chap.
Dadeki
Mapengo ya psg huyaon?Gemu nzuri madrid wametoa beki wakidhani mechi imeisha huyo dogo alietolewa red card ni mtu na nusu mechi na PSG pengo lake litaonekana..
Dogo kama fala vile ila hatari kabisa. Mpira akili sio mimwili mikubwa akili kisodaGemu nzuri madrid wametoa beki wakidhani mechi imeisha huyo dogo alietolewa red card ni mtu na nusu mechi na PSG pengo lake litaonekana..
11/7Jamani vipi afcon ya wanawake tz anacheza lini
Wana bahati sana, vinginevyo tungeenda extra timeMadrid wamekoswa jioooooon
Nini kimetokea 😀😀😀😀Leo Dortmund tunamtoa mtu meno
Wana bahati sana Jobe hakuchezaNini kimetokea 😀😀😀😀
Mkuu, hasira zote tunazihamishia kwenye ligiUnalala Dakika ya 45 ?
Vijana walinivunja moyoMbona mapema sana mkuu?