choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Timu gani hizi wanazileta WC
Hawa kipigo kipo tuu hamna kitu monterey uzembe wao tuuHaya mambo yaliwakuta waitaliano yasijewakuta na Hawa wajerumani! Maana alipigwa Inter Milan akapigwa na Juventus.
Sasa naona walianza Bayern na Sasa Dortmund nao wanapigwa!!
ndo maisha ya sokaKilicho mpata musiala nusu nilie
Nacheka sana hapaHawa wajerumani watakula nyingi sana.
Madrid mchekea tu kwa PSGNusu final Madrid na PSG watauana
Unalala Dakika ya 45 ?Kwanza mamipira ni dhambi. Ngoja nilale 😎
Uliniambia tuonane baada ya dakika 90 mkuuKwanza mamipira ni dhambi. Ngoja nilale 😎
Mbona mapema sana mkuu?Kwanza mamipira ni dhambi. Ngoja nilale 😎
Mshindi wa hapo ndio bingwa wa mashindanoNusu final Madrid na PSG watauana
Mbona naona kuna gap kabisa, ila hawa BVB wanashindwa kulitumiaMshindi wa hapo ndio bingwa wa mashindano
Uwezo hawanaMbona naona kuna gap kabisa, ila hawa BVB wanashindwa kulitumia
Hao hamna kitu kabisa weweMbona naona kuna gap kabisa, ila hawa BVB wanashindwa kulitumia
Leo pande zangu zote zinafanya poaUwezo hawana