Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,246
Game ilikuwa ngumu sana aiseeFT
CHELSEA TO SEMI FINAL...
Watakutana na Wabrazil wengine Tarehe 8.
1-2
Game ilikuwa ngumu sana aiseeFT
CHELSEA TO SEMI FINAL...
Watakutana na Wabrazil wengine Tarehe 8.
1-2
Na ugumu utaendelea Jumanne!!Game ilikuwa ngumu sana aisee
Nishachana mkeka😃Unacheki mziki wa Chelsea?
Hii saa moja jioni itakuwa bonge la gameSema leo kipute kitachapwaView attachment 3394357
Sana. Yaani ni bonge la gemu!!Hii saa moja jioni itakuwa bonge la game
Semeni upande Kabisa.Sana. Yaani ni bonge la gemu!!
Ngoja tuone vitinho na kimmich kitaumana hapo katiSana. Yaani ni bonge la gemu!!
Bayern wanacheza kimbinu zaidi wakati PSG wanapambana kwa kila Hali mradi ushindi upatikane!PSG Vs Bayern? Vip hapo?
Mbappe yupo fitHiv Mbappe hajapona bado?
Wacha tuone🔥Leo Bayern tutaushangaza ulimwengu
Mnakula kichapo cha aibuLeo Bayern tutaushangaza ulimwengu
Subiri maajabu, hutaaminiMnakula kichapo cha aibu
Sawa mkuu ngoja muda kidogo tu saa moja inafikaSubiri maajabu, hutaamini
Huyo Psg mtamkana wenyeweSawa mkuu ngoja muda kidogo tu saa moja inafika
Bayern kumfunga psg sio maajabu yaan toka mtufunge barcelona zile gori 8 nawaogopa sana nyie watu lakn nawaombea mshnde ili kocha aongeze cv yake na sis dortmund tuna jambo letuSubiri maajabu, hutaamini