Yeah ikibaki hivi anatoka, kazingua kukosa chance alizopata.Hii inamaanisha ili Al Ahly apite inabidi afunge magoli 3
NAKAZIA.Narudia tena, Al Ahly ni wapumbavu.
Al Ahly fungu lakukosa.67' FC Porto 3-4 Al Ahly
71' Inter Miami 2-0 Palmeiras
Fungu lakukosaNarudia tena, Al Ahly ni wapumbavu.
The Brazilian I know...FullTime:
Inter Miami 2-2 Palmeiras
FC Porto 4-4 Al Ahly
Inter anaenda kula kichapo cha mbwa mwizi.Inter Miami - PSG kazi ipo
GOAT na kikosi chake nawaonea hurumaInter anaenda kula kichapo cha mbwa mwizi.
Bayern tayar kafuzu ko mech Haina maana sana kwakeHaya mashindano Yana harufu ya upangaji matokeo sana.Ona Bayarn anavyocheza Leo!
Kuna Hali ya kubebana ya wazi.Bayern tayar kafuzu ko mech Haina maana sana kwake
Wote wanatoka ulaya wanataka kuvushanaKuna Hali ya kubebana ya wazi.
Yani lipo wazi wazi,inaondoa validity ya mashindano.Hata matokeo ya Miami na palmeiras timu zilipangaWote wanatoka ulaya wanataka kuvushana