2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Kuna timu yoyote mpaka sasa haijaruhusu goli zaidi ya Man city na Palmeiras?
 
Mpaka hii michuano iishe tutakuwa tumechoka.
i.png
 
33' FC Porto 1-1 Al Ahly
33' Inter Miami 1-0 Palmeiras
 
Wakuu! Hii game ya Porto na Al Ahly ya moto sana.
I stand with Al Ahly
 
67' FC Porto 3-4 Al Ahly
71' Inter Miami 2
-0 Palmeiras
 
Duh hiyo Alhly ikacheze ulaya afrika inatafuta nn!?
Maana hata uarabuni sio sehemu yao
 
Back
Top Bottom