Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
Bado wabovuDaaah ni kweli wanarudi aisee Juve,ngoja tusubiri.Jamani mkeka wangu!
Bado wabovuDaaah ni kweli wanarudi aisee Juve,ngoja tusubiri.Jamani mkeka wangu!
Tena kwa aibuAfrican teams tumeumaliza mwendo.
Vimekosa watumiajiViwanja vimenikosha
Palmeira jezi zao zinatrend bongo!Game ya Palmeiras na Botafogo sijui itakuwaje ?maana waarabu wa Pemba wanajuana.
Akili zile zile za ENZO FERNANDEZJe wajua.
Mpaka kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano hii, ju.la ya kadi nyekundu 10 zimetolewa ila nusu ya kadi hizo (5) zimetolewa kwa timu za ArgentinaView attachment 3385812
Kule mpira ni kama vita. Inabidi marefa wa kutoka ukanda huo ndiyowapewe game zao. Hawa marefa wa ulaya wanaweza imaliza timu kwa red card.Je wajua.
Mpaka kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano hii, ju.la ya kadi nyekundu 10 zimetolewa ila nusu ya kadi hizo (5) zimetolewa kwa timu za ArgentinaView attachment 3385812
Hapa kuna kadi nyekundu leoRatiba ya leoView attachment 3386849