2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

VIN JR Anahtaji mtu wa saikolojia aweze kumuweka sawa naona hachangamki
 
Kipa wa madrid apewe man of the match kafanya kaz kubwa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-23_011350_Chrome.jpg
    Screenshot_2025-06-23_011350_Chrome.jpg
    250.5 KB · Views: 9
Screenshot_20250623_033339_All Football.jpg
pep kaja na kikosi tofauti kabisa na kile kilichoanza game ya kwanza, hakuna hata mmoja alieanza kwenye game ya wydad na leo akaanza.
Good news ni Nunez kurudi kama wing.
 
Back
Top Bottom