uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,683
- 20,460
Ime resume?benifica wanapata gori la pili PAVLIDS kafunga
Nacheki ya Flamengo Vs Chelsea
Ime resume?benifica wanapata gori la pili PAVLIDS kafunga
dakika ya 59 AUCKLAND wamechangamkaIme resume?
Nacheki ya Flamengo Vs Chelsea
Ila watafungwa.dakika ya 59 AUCKLAND wamechangamka
BENFICA wanapata gori la 3Ila watafungwa.
Umeona sasa.BENFICA wanapata gori la 3
Wameifanya Chelsea iwe kama esperanceWatoto wa Re denajairo
Wamepigwa cha 3Wameifanya Chelsea iwe kama esperance
Thalatha thalathaWamepigwa cha 3
Vijana wanapigwa kama ngoma hapa 😃😃Vijana wa darajani boresheni timu Vinginevyo msimu ujao mtaumbuka
BRAZIL WAPEWE KOMBE ALAF WAKIFIKA KWAO WATAJUA ACHUKUE NANTimu za Brazil sio poa daa.
Hawa kina
Flamingo
Palmeiras
Na Botofogo sijui
Daaa noma
Mtu kala 5 ila kipa kawa na rank kubwa kuliko wote.BENFICA 5 dakika ya 78
dirisha la usajili tutasikia tetesi kutoka kwa wazee wa tetesi MAN U/CHELSEAMtu kala 5 ila kipa kawa na rank kubwa kuliko wote.View attachment 3377171
safi sana blaziliansFT
Flamengo 3 - 1 Chelsea