Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Hii gemu ya Flamingo na Chelsea matumizi ya nguvu ni makubwa sana, kama ni legelefe hii gemu utakaa chini.
Tyt sana so far...Hii gemu ya Flamingo na Chelsea matumizi ya nguvu ni makubwa sana, kama ni legelefe hii gemu utakaa chini.
Watoto wa Re denajairoHawa flamengo wanafaa kucheza EPL au la Liga
Kutoka copa cabanaWatoto wa Re denajairo
Jackson dakika ya 67'Kalambwa umeme
yaani nimeandika na goli likaingiaCha pili hicho dadeki..
😃😃😃