Wajipange sanaVijana wanapigwa kama ngoma hapa 😃😃
Hawa jamaa ni wakujipigia tuFULL TIME: BENFICA 6- AUCKLAND FC 0
alaf benfica walidharau game wamecheza kama hawataki vileHawa jamaa ni wakujipigia tu
Msimamo wa group upojealaf benfica walidharau game wamecheza kama hawataki vile
BENFICA-pts 4Msimamo wa group upoje
Ukiwasikia mashabik wake wanasema watabeba ubingwa 🤓🤓🤓🤓Chelsea hawana kitu 😀 😀 😀 😀
Yule kiungo Zhou alikuwa kashika kiungo vema sana baada ya kutoka kwa Kuumia ndio Benfica wakapumua dogo aliipoteza kabisa kiungo ya BenficaBENFICA-pts 4
BAYERN-pts 3
BOCA JR-pts 1
NDUGU ZETU- wana -15 na pts 0
Wapiga kura wazingatie hata team inapopoteza mchezo bado iweze kutoa man of the match dogo lazima apate "endorsement"team kubwa kubwa japo nadhani bado ni mwanafunziman of the match ANGEL DI MARIA lakn ilifaa kipa wa auckland apewe tuzo lakn wapga kura wamemuangusha
Umewapunja 1BENFICA-pts 4
BAYERN-pts 3
BOCA JR-pts 1
NDUGU ZETU- wana -15 na pts 0
Nilisema hili game ikiwa Dakika ya 10 tuman of the match ANGEL DI MARIA lakn ilifaa kipa wa auckland apewe tuzo lakn wapga kura wamemuangusha
Leo weekend hii game naisubiriMamelodi vs Borussia Dortmond (game ngumu)
By the way una uhakika FIFA ndio wametoa hizo points ? Nadhani (sina uhakika) FIFA wanatoa points kwa Timu za Taifa (International Rankings) kutokana na mashindano ya Kimataifa ambayo Timu za Taifa zinacheza na ugumu wa mashindano hayo.... ila UEFA na Taasisi kama IFFHS ndio zinafanya hivyo (na haya mambo ni subjective) na according to IFFHS Italian League ndio Strongest (Sasa bado naweza ku argue Strongest sio necessarily Bora)Mzee Hizi Ranks Zinatolewa na FIFA Wenyewe, Sio Unakuja Kudanganya danganya Watu, Na Points Zipo Kama Ifuatavyo
1. Premier League - ENGLAND 85.9
2. Serie A-ITALY 84.2
3.Bundesilga-GERMANY 84.0
4.La Liga-SPAIN 83.5
5.Ligue 1-FRANCE 83.1
6.Brasilia Serie A-BRAZIL 80.1
Sasa Wewe Mzee Unaleta Mahaba Bila Vielelezo. LIGI YA BRAZIL NI NAMBA SITA DUNIANI. Over