2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Auckland wamejiongeza leo.
Ile defence ya kizembe leo inakaza.
Japo watafungwa tu
 
Tuta wanapata Benfica kwenye dakika za Nyongeza
 
Chuma cha kwanza.
Benfica 1 -0 Auckland
 
Hapa Barcelona angeshiliki ingenoga Sana maana kama namuona psg anaenda kutwa ubingwa kirahisi tena kwa kutoa kipigo cha mmbwa mwizi cha Kwanzia gori 3 kwenda mbele Bora Barcelona angeshiliki kidogo tungeshuhudia mechi moja kali
Umeona alichofanywa jana? Yupo matatani kuingia hatua inayofuata
 
Back
Top Bottom