Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
wameangalia tim zilizofanya viuri misimu mitano nyuma ikiwemo kufika fainali au nusu au robo ya champions leagueWadau wa JF Salam.
Naomba kujua jinsi wawakilishi wa kila bara walivyopatikana kwani nikiangalia Club ranking kule Ulaya hai- match na timu zote zinazoiwakilisha Ulaya.
Ahsante