2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Taja basi hiyo namba moja uliyo kalilishwa basi
Mzee Hizi Ranks Zinatolewa na FIFA Wenyewe, Sio Unakuja Kudanganya danganya Watu, Na Points Zipo Kama Ifuatavyo
1. Premier League - ENGLAND 85.9
2. Serie A-ITALY 84.2
3.Bundesilga-GERMANY 84.0
4.La Liga-SPAIN 83.5
5.Ligue 1-FRANCE 83.1
6.Brasilia Serie A-BRAZIL 80.1
Sasa Wewe Mzee Unaleta Mahaba Bila Vielelezo. LIGI YA BRAZIL NI NAMBA SITA DUNIANI. Over
 
Vigezo ni vipi ? Kwa mimi mdau ambaye mashindano Ligi its all about Ushindani ligi kubwa / kali kwangu duniani ni hii hapa

Sawa mkuu sasa nimemdanganya nani unaweza kuleta chanzo chako cha taarifa kuliko kuandika zinatolewa na fifa 😃 😄 😃 😀
 
Vigezo ni vipi ? Kwa mimi mdau ambaye mashindano Ligi its all about Ushindani ligi kubwa / kali kwangu duniani ni hii hapa

Sawa Mkuu, Hii ndio Ligi Bora Duniani
 
😀 Yeye Anasema Ligi ya Algeria ndio Bora Duniani, Sasa Unamjibuje Mtu kama Huyo.
Ubora ni nini ? Na ligi ni nini ? Kumbuka hata ukisema ugumu Ligi ambayo kila mtu anaweza kumfunga mwingine ni ngumu kuliko mmoja anakuwa maili kumi na wengine wanafuatia kwa mbali.... au hata unajua maana ya ligi ? Sasa ubora wa ligi ambayo unaweza kupanga matokeo 70 percent kutokana na gaps in classes wewe ndio unaona ni bora ?

Ndio maana nimekuuliza unajua vigezo FIFA walivyotumia ? Tofautisha most popular, most watched and most competitive.., na kwangu mimi kwenye mashindano kigezo cha ubora ni competitiveness...

Kwahio wewe hata kwenye mashindano ya ngumi bora yatakuwa ni heavyweights (hata kama kuna mtaalamu mmoja na vidampa wengine au huyu heavyweight mmoja anaweza kuwapiga madaraja mengine yote) je inamaanisha heavyweights ndio itakuwa bora kwa wakati huo kuliko madaraja mengine ?

Je kungekuwa kuna kina Prince Naseem au Floyd Mayweather ?

Naruadia tena weka vigezo (Most watched, most Stars, Most expensive au vigezo gani )
 
Kwa mfano ligi ya kenya na ligi ya scotland naweza kusema ligi ya kenya ni ngumu kuliko ya scotland lakini lig ya scotland ni bora zaidi utaanza kimiundombinu,kutazamwa,uwekezaji lakini Lakini pia ligi ya kenya inahusisha tim mbov zinazo kamiana huku scotland ina tim bora lakini celtic kawazid wengne kwenye uwekezaji. -UGUMU WA LIGI SIO KIGEZO MUHIMU CHA UBORA WA LIGI
 
Ukinijibu qoute me ili nikuone...; Ugumu wa ligi ya Kenya upo wapi in comparison labda na huko Scotland ? Miundombinu na kutazamwa na uwekezaji inawezekana pia sio necessarily kufanya ikawa bora; ila competitiveness ni kigezo kikubwa kabisa katika kitu ambacho kinaitwa competition katika kudetermine ubora (after all its called competition)

Ligi ya Kombe la Mbuzi kitaa inaweza ikawa bora kuliko ligi za pre season zinazokutanisha kina Real Madrid, Arsenal and the likes (playing for nothing); Narudia tena huwezi ukaondoa kigezo cha competitiveness katika determination ya Ubora katika kitu kinachoitwa competition...
 
Nilitaka kumaanisha ligi ngumu inaweza kuhusisha team zenye uwezo mdogo
 
Yes ni kweli ila sababu ni league ya kutafuta nani mbabe itakuwa na mvuto hata kama ni ligi ya mtaani au mashule; kuliko ile ambayo timu moja au mbili zinajua kabisa mimi ndio mshindi hata kabla ligi haijaanza; Wengine wanakuja uwanjani sio kutafuta ushindi bali kupunguza idadi ya magoli...
 
Benfica Anaenda kugawa dozi PAVLIDS naona anaenda kufanya unyama kama aliotufanyia barcelona
 
Nasubiri game ya Mamelodi na Borussia Dortmund. Itakuwa game bora kabisa
 
Back
Top Bottom