2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

Anaamini anamajibu ya mungu kwa kijiji chake.... hakua na ndoto kabla ... inasemekana ameanza kuota sasa namna ya
Kukipeleka kijiji mbele
 
Hizi thread ndiyo zinazoponza akina Melo kuhangaika na kesi. Sababu anaambiwa kuwafichua, anawaonea haya na kuogopa lawama! Hakuna wazo jipya kuweza kujadiliwa na wanaforum, isipokuwa ni utawala kwa kejeli?
 
Siyo kwa makaratasi. Na nyamaratokwanas wanafanya nini mpk mnitoe? Wewe chunga mdomoni wako
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Nadhani kama anajua akishindwa hatotoka basi atakachofanya huyo mfalme wenu ni kuweka mazingira ya kutoshindwa kabisa,
Yaani afe kipa, afe beki yeye kushindwa hakutokuwepo kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile
 
Tuambieni msitoe matapishi kamanda. Akiwa ameshindwa ni nani unadhani kati ya hawa waliopo atakuwa amechaguliwa na wananchi kwenda ikulu. Manake msitupige na mapropaganda yenu yasiyokua na vichwa wala miguu. Kuweni wazi. Mzee atashindwa na fulani atakua rais,. Msiogope kutukanwa
Unajua hapa,ndio unaelekea kudhihirisha ile ratio ya 4:1
 
Sidhani kama atatoka kirahisi maana mpaga ramli wake si yupo miaka yote na ndo tumekuwa tukimlalamikia kwa matokeo yake ya utabiri, hamjui!
 
Hizi thread ndiyo zinazoponza akina Melo kuhangaika na kesi. Sababu anaambiwa kuwafichua, anawaonea haya na kuogopa lawama! Hakuna wazo jipya kuweza kujadiliwa na wanaforum, isipokuwa ni utawala kwa kejeli?

Utawala unatokana na kura zetu na unaishi kwa kodi zetu... tuna haki ya kuujadili kwa namna zote.

Wewe sio mwandishi ... waandishi huwa hawasemi "source" zake akisema ndio mwisho wake.... !

Mbona serikali inatuficha sisi walipa kodi baadhi ya mikataba na wawekezaji? Bora hata hii ya silaha wakificha pengine ina mantiki
 
Shida sana, chama kinataka kuiondoa CCM madarakani huku kikiruhusu robo tatu ya wabunge toka CCM, na zaidi ya robo tatu ya madiwani CCM, hizo ni ndoto za mchana, upinzani ukuweza kupata zaidi ya 50% ya wabunge CCM itaachia madaraka, lakini kwa kupiga tu kelele kila uchaguzi kuwa kura za urais zimeibiwa ni ujuha!
Mkuu,bado hatujafikia ukurasa huo.
Tuko huku mwanzo mwanzo kabisa[emoji1] [emoji23]
 
Nadhani kama anajua akishindwa hatotoka basi atakachofanya huyo mfalme wenu ni kuweka mazingira ya kutoshindwa kabisa,
Yaani afe kipa, afe beki yeye kushindwa hakutokuwepo kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile
Angalau umediriki kusema ukweli,id fake rahaa sana
 
kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Nani anamkwamisha na wakati hela za tetemeko kanunulia ndege
 
Yeye mwenyewe amesema urais mgumu anatamani aache hata Leo wewe wampangia mpaka2025

Mtu anayetaka kuacha jambo hua haji mbele za watu na kuuzungumza ufikiri wake....! Mbona aliomba kimya kimya kuacha ndio ajadili?
 
Mbona wale wenyeviti wa vijiji vya kagunda,rwanginda,bugundi..wanaendelea basi na wakijiji chetu ataiga mfano kwao
 
Kumkwamisha au kujikwamisha yeye mwenyewe. Ivi nikuulize tokea aongee kuhusu wapiga dili Alisha wahikumtaja hata mmoja?
Anawatumbua tu 'tumbwi'. sasa hapo sijui unataka nini zaidi. au ulitaka awe anawapanga mstari anaita mmoja baada ya mwingine. kutumbuliwa bila shaka ni maumivu makali ila ndio matibabu sahihi ya jipu.
 
Ana askari na wanajeshi. Hawaangalii pa kupiga
Na hii ni hatari sana maana chuma kinaweza kumkuta na kumsabaratisha mgombea/wagombea wa vyama vyote. Chuma hakichagu hali inapokuwa si shwari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom