Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,417
Ungemgonga? Hapana bana. Muache tu!natamani ningekuwa nyoka au nge
Ungemgonga? Hapana bana. Muache tu!natamani ningekuwa nyoka au nge
Alisema hataki katiba mpya sababu anaogopa time guru ya uchaguzi itamzuia kuiba kama alivyofanya lubuvaMwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Sawa rafikiUngemgonga? Hapana bana. Muache tu!
Mbona yule wa kijiji cha Farao aitolewa kwa nguvu ya umma? Alikuwa na kila kitu. majeshi, mizinga, pesa na kila kituTutamtimua tu
Sawa rafiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akiniwahi ataniuamgonge tu nitakuongezea sumu
Nasikia wamesema watamtii anaewalipa mshara.Ana askari na wanajeshi. Hawaangalii pa kupiga
Kwanza naona akilazmiisha ushindi, natabiri atawaua watu wengi ili abakiBora iwe hivyo, akitawala tena wote tutakufa tumuachie nchi.
Hizi thread ndiyo zinazoponza akina Melo kuhangaika na kesi. Sababu anaambiwa kuwafichua, anawaonea haya na kuogopa lawama! Hakuna wazo jipya kuweza kujadiliwa na wanaforum, isipokuwa ni utawala kwa kejeli?
Ni kweli kabisa na huduma zote zapatikana kwa uhakika sana..ila kule Arumeru waliandamana wanakosa maji DC akakasirikia na kumrundika 24hours. Matatizo hayatakiwi tushayamaliza na tunaendelea kutekeleza kuyakamilisha..hatutaki kukosolewa ni uchocheziHivi kuna watanzania mwenye akili timamu ambaye anawaza Magufili atashindwa uchagizi 2020 kweli? Atakuwa hana akili timamu. Tatizo watu mnajipa moyo kwa kusoma JF, facebook na kwenye mitandao ya kijamii ambao wanaopost ni wale wale walioliibia taifa hili kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo sasa wanachofanya ni kulalamika vitu ambavyo havipo.
Sidhani kama mtu ambaye amefanikiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye idara za serikali na sasa watu wanafanya kazi na matokeo yanaonekana anaweza kutolewa kirahisi kama mnavyoandika hapa.
Asilimia kubwa ya wananchi wanaopiga kura wanafikiwa kwa kupelekewa huduma zao muhimu kama maji, afya, elimu za watoto, etc.
Watanzania hawahitaji demokrasia ya kupiga kelele mnazoziita kwenye 'demokrasia' wakiwa hawana maji, afya shida, watoto wa shule shida.
Watanzania wanahitaji maendeleo, sio kelele
Hivi mimi na wewe anayetumika ni nani hapo. Hapo ulipo maisha yamekuchapa, hata pesa ya kununulia vipande viwili vya mihogo unywe chai hunakwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Wacha bana yaani hata vipande vya mihogo nishindwe kununua! sawa bana wewe si mtumbuliwa umejaa minoti.Hivi mimi na wewe anayetumika ni nani hapo. Hapo ulipo maisha yamekuchapa, hata pesa ya kununulia vipande viwili vya mihogo unywe chai huna
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Kwa kusema Jecha apewe medal kwa kufuta uchaguzi wa znz ..basi hata nyooote wa mukatae haondoki ngooo...kwanza uchaguzi wa 2020 hautokua wa kawaida...kina lema watakua wengi sana.....kwa ufupi hali si hali