2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.

Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.

Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?

Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Wewe sasa unawaza siasa wenzio wanapiga kazi ukija huo mwaka utaona matokeo yake. Pigeni kazi ili muonekane mnafaa majungu mwisho wake ni aibu.
 
Kwani uchaguzi si unasimamiwa na Wakurugenzi wa halmashauri .... ! wote kwanini watokane na CCM km nia sio kuitumia serikali kukataa vyama vingine?

Halafu rais anazuiwaje kufanya kazi? Wakati anaidadi kubwa bungeni... hivi watu km nyie mlisoma tanzania au ni wahamiaji?
Na bado CCM itaongoza mpaka akili zitakapowakaa sawa na kuacha unyumbu.
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.

Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.

Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?

Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
NDOTO
 
Vilaza wa upinzani kushinda ni ndoto za mchana, endeleeni kujidanganya.
 
Kweli cdm wamekosa kazi huo ushindi kwenu ni ndoto ufalme na mfalme ataendelea kushinda nanyi mtaendelea kushindwa
 
Hivi kuna watanzania mwenye akili timamu ambaye anawaza Magufili atashindwa uchagizi 2020 kweli? Atakuwa hana akili timamu. Tatizo watu mnajipa moyo kwa kusoma JF, facebook na kwenye mitandao ya kijamii ambao wanaopost ni wale wale walioliibia taifa hili kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo sasa wanachofanya ni kulalamika vitu ambavyo havipo.

Sidhani kama mtu ambaye amefanikiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye idara za serikali na sasa watu wanafanya kazi na matokeo yanaonekana anaweza kutolewa kirahisi kama mnavyoandika hapa.

Asilimia kubwa ya wananchi wanaopiga kura wanafikiwa kwa kupelekewa huduma zao muhimu kama maji, afya, elimu za watoto, etc.

Watanzania hawahitaji demokrasia ya kupiga kelele mnazoziita kwenye 'demokrasia' wakiwa hawana maji, afya shida, watoto wa shule shida.

Watanzania wanahitaji maendeleo, sio kelele
 
Hata kijijini kwetu yupo Jana kateuwa mwenyekitu Mpya wa NEEKII
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.

Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.

Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?

Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Toka tumeanza Uchaguzi wa vyama vingi naona
Marais wanaoachaguliwa kwa tiketi ya CCM huwa wanapita ktk Uchaguzi ya Pili pia.

Kwa mantiki hiyo Uchaguzi wa 2020 naona Rais Magufuli atapita tena kumalizia term ya Pili Mungu akituweka hai.

Ila Uchaguzi wa 2025 ndiyo kutakuwa na ushindani mkubwa
 
Tuliowategemea waje na mkakati wa kushinda ndio hao wanatumia mbinu za zamani, wanatembea na majina ya watu wanaowapenda kwenye chaguzi zao za ndani mifukoni!
 
Lini alishindwa akakataa kutoka??
Vijana acheni kuwa brain washed
 
kupambana na mtu mwenye MIHEMKO ni rahisi sana.
pressure tutakazomtia anaweza akatoa povu hadi akafa..
japo hapendi kuambiwa atakufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom