2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

2020 akishindwa sijui atakubali kutoka?

[emoji23] [emoji23] [emoji23]........Kumbe siku JF tukidukuliwa na bwana yule bado tuna njia nyingi za kuwasilisha mada zetu!
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Na alivyo na ubishi sijui itakuweje!
 
kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Kumkwamisha au kujikwamisha yeye mwenyewe. Ivi nikuulize tokea aongee kuhusu wapiga dili Alisha wahikumtaja hata mmoja?
 
teh teh kwan rafk yake kipenz wa kijiji jiran walimuongezea anaweza tawala hadi 2034
 
When ever you point an evil finger to your enemy three fingers are pointing at you
 
Hivi mfalme bado mshauri wake ndio Yule mfalme Wa jirani aliyemshauri tununue njiwa badala ya maksai wakati kijiji chetu kinategemea kilimo
 
Atatoka tutapiga kura hata akiiba nusu bado atashindwa atachaguliwa na polisi laki 3 japo wengine wamekaa hapa kijijin miez 4 bila mishahara wafanyakaz hamtak wanavyuo pia wafanyabiashara wasafirishaj i wakulima watu mabenk wananch wa kawaida waandishi wa habari wasomi wanasiasa hata chama chake ameanza kukiua tatizo mjuaji mno hashauriki
 
yaan huu uzi nimejikuta nacheka tu nikisoma coment za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida sana, chama kinataka kuiondoa CCM madarakani huku kikiruhusu robo tatu ya wabunge toka CCM, na zaidi ya robo tatu ya madiwani CCM, hizo ni ndoto za mchana, upinzani ukuweza kupata zaidi ya 50% ya wabunge CCM itaachia madaraka, lakini kwa kupiga tu kelele kila uchaguzi kuwa kura za urais zimeibiwa ni ujuha!
 
Nasikia yule mfalme wa kile kijiji cha kule Gambia kaambiwa kama hutaki kuachia kigoda basi watatumiwa sungusungu wa kijiji au vijiji vya jirani kumuondoa kwenye kigoda. Nadhani huo utaratibu ndio sasa umeanza kutumika kwa wale waliko weka gundi aina ya superglue kwenye makalio ili wakikalia vigoda viwe vimeng'ang'ania na waseme mbona hakitoki sasa mimi nifanyeje?
basi utaratibu huo ni mzuri sana na utaleta nidhamu kwa viongozi wapenda vingora.
 
Atakufa kabla ya uchaguzi 2020 muombeni MUNGU amuondoshe ili laana juu ya taifa ikome.
 
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Unajipa shida sana kuwaza ya 2020 kama mimi nilivyojipa mateso miaka karibia kumi kwamba Chadema wako serious na kupambana na ufisadi kumbe hawana lolote,Magufuli na hizo chuki zako tele lakini ataongoza miaka kumi
 
Dah....tunywe mtori tu....nyama ziko chini..... ni tamu hizo hasa kwa wenye nia njema na kijiji chetu[emoji13] [emoji13]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom