Nadhani kama anajua akishindwa hatotoka basi atakachofanya huyo mfalme wenu ni kuweka mazingira ya kutoshindwa kabisa,
Yaani afe kipa, afe beki yeye kushindwa hakutokuwepo kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile
Ili aendelee kufunga watu???
Nadhani kama anajua akishindwa hatotoka basi atakachofanya huyo mfalme wenu ni kuweka mazingira ya kutoshindwa kabisa,
Yaani afe kipa, afe beki yeye kushindwa hakutokuwepo kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile
ATATOKA TU KWA STAILI YOYOTEMwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Jpm ni Rais hadi 2025.....Endelea kuota..
Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa?
Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli? Yani wenzenu tuna mawazo.!
Kweli eeTutampiga jek akileta ubishi kama yule Raisi wa quwait
Sasa mawe ya nini mnarushakwani 2020 kuna uchaguzi.? kutakuwa na kumuidhinisha tu JPM aendelee na muhula mwingine. maana mpaka sasa JPM kashakubalika na hana upinzani kabisa. labda tujadili 2025 atagombea nani CCM.
Hawawezi coz kwenye level ya halmashauri ambako matokeo yanachakachuliwa hawatumii digital database. Kule karatasi zikiishahesabiwa mkurugenzi anachakachua then figure chakachulifu inatumwa NECJAMAA NASIKIA MAREKANI INATAKA KU HACK DATABASE YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ILI KUMUINUA TAL
Hayawi hayawi .................!!Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.