p_maharifa
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 153
- 216
Ukuu kwetu watabiri wameanza kutabiri 2020 akiendelea hivi hata fika atakua ametoweka ulimwengun...
Ndio maana mnafeli mitihani. Hapa anazungumzwa Mfalme wa kijiji huyo rais unauemzungumzia wewe ni nani?kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Ninaomba sheria hii itumike kumtoa Kaguta, yeye ameota mizizi kabisa kwenye kigoda.Nasikia yule mfalme wa kile kijiji cha kule Gambia kaambiwa kama hutaki kuachia kigoda basi watatumiwa sungusungu wa kijiji au vijiji vya jirani kumuondoa kwenye kigoda. Nadhani huo utaratibu ndio sasa umeanza kutumika kwa wale waliko weka gundi aina ya superglue kwenye makalio ili wakikalia vigoda viwe vimeng'ang'ania na waseme mbona hakitoki sasa mimi nifanyeje?
Inaelekea tupo kijiji kimoja . .Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Ki ki ki ki,Sadam Hussein.Tutampiga jek akileta ubishi kama yule Raisi wa quwait
Hahahaha. Hiz ndoto za mchanaa. Sasa tuambie atakapokua ameshindwa nani unadhani ambae ndie atakuwa ameshinda. Tuanzie hapo. Au una maana kutakuwa na mshindi hewa??Mwaka 2020 kuna uchaguzi kijijini kwetu, mfalme anayetawala sasa ni katili, ashauriki na kila mtu anamuogopa, mpaka wasaidizi wake wa karibu kabisa.
Wananchi hawajui kesho yao hapa kijijini. Hali ya maisha imekuwa ngumu hamna mfano.
Bado tuna mashaka, kwa jinsi watu wanavyomuogopa hivi, 2020 iwapo atashindwa kwenye uchaguzi kuna atakayethubutu kumwambia kuwa umeshindwa? Hata akiambiwa umeshindwa atakubali kutoka ampishe aliyeshinda kweli?
Yani wenzenu tuna mawazo!!!!
Tuambieni msitoe matapishi kamanda. Akiwa ameshindwa ni nani unadhani kati ya hawa waliopo atakuwa amechaguliwa na wananchi kwenda ikulu. Manake msitupige na mapropaganda yenu yasiyokua na vichwa wala miguu. Kuweni wazi. Mzee atashindwa na fulani atakua rais,. Msiogope kutukanwaTumieni nguvu ya umma, la sivyo hatotoka. Hata huku kijijini kwetu yupo tunamngoja 2020
Akishatoka ikulu itabaki empty sio... au..nani atakua anachukua nafasi yake.Hata kafara tutafanya
Masheikh na waganga watausika tutasoma albadri ya kufa mtu mpaka atoke
Si haki yake ya kikatiba. Sheria si zipo zina govern haya. Kuna tatizo gani. Hiyo ndio demokrasia iliyoiva. Kama ana vigezo vya ku justify hayo why notMimi Niko Gambia, wa huku kakataa matokeo.
kwenda zako wewe hata aibu huna. mumekaa kutumika na mtu anayeamini kazaliwa awe rais. uchaguzi juzi rais na serikali yake wanafanya kazi mumekaa kumkwamisha. 2020 ndio hampati kitu mtabakia kulialia zaidi.
Jaman nisaidien mwenzenu majina ya hivyo vijiji vyenu naweza kuta na mimi ni mwanakijiji mwenzenu.Sisi huku Mfalme wa kijijini kwetu tumemchoka
naona tunataka kumuondoa kikabe,
Ikiwezekana tumeweke gerezani kisha ahukumiwe kifo
Unajuaje kama nguvu ya umma wote wako against yeye. Mnajidanganya sana na mandoto yenu. Hahahahah. Eti nguvu ya umma. Unajua asilimia sasa 85 ya wananchi wanam support mzee kwa sasa. Nyie wapiga dili ndio asilimia ndogo iliyobaki. Sasa mtamuwezaje. Makelele meeengi lakini mko wachache sana!. Sasa hiyo nguvu ya umma itatoka wapi. Umma upo na kiongozi wa nchi kwa taarifa yako.Tumieni nguvu ya umma, la sivyo hatotoka. Hata huku kijijini kwetu yupo tunamngoja 2020